Mteja wa mananasi anatajika.

Mteja wa mananasi anatajika.

Yapaswe

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2016
Posts
322
Reaction score
240
Habarini ndg zangu.hongereni na majukumu. Ninatafta mteja wa mananasi yatakuwa tayari bada ya wiki moja. Mahali yalipo ni bagamoyo yeyote aliye tayari aje PM karibuni.

Namba yangu ya simu 0676494828.
 
Habarini ndg zangu.hongereni na majukumu. Ninatafta mteja wa mananasi yatakuwa tayari bada ya wiki moja. Mahali yalipo ni bagamoyo yeyote aliye tayari aje PM karibuni.
Weka namba ya Simu pia utafutwe

OVA
 
Hongera kiongozi kwa kuona fursa na kuzitumia pia kujua namna ya kutumia hii mitandao kuweza kujiongeza. Bravo!
Siku zote, "Usipojionesha hutaonekana"
 
Back
Top Bottom