ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
- Thread starter
-
- #41
Mkuu this is too low to you, M4C imeanza lini na Mbowe kaanza kusaka hela lini? Ebu nijibu hilo swali then tuendelee. Kada piga kazi uongeze kipato chako, mambo ya siasa na propaganda zisizo na msingi achia wengine. Ina maana ushasahau kwamba mwingine 2 billion ni vijisenti kwake katika nchi masikini kama TANZANIA?
Kindly update youself here https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...m4c-na-pikipiki-kufisadi-ruzuku-ya-chama.html
Yaani vijana wa Bavicha ghafla mmebadilika.
Kujadili ufisadi uliofanywa BoT enzi za Mtei imekuwa ni kulalama!
Tangu lini kujadili ufisadi imekuwa kulalama? Kwahiyo Bavicha haitaki tena mijadala ya ufisadi?
Huyu jamaa angekuwa anaitafuta pesa kama maisha ya wanaume anavyoyadadisi nadhani angekuwa anakimbizana na kina DONGOTE hivi sasa. piga kazi na si kuchunguza midume utaja...................!
Utajiri wa mtu unaweza kukadiriwa kwa kuangalia kiasi cha kodi anayolipa.
Kiasi cha kodi aliyolipa Mbowe kwa miaka 10 iliyopita hakiendani na utajiri huu mkubwa wa ambilioni aliyoficha nje ya nchi.
Hali iko hivyohivyo kwa Mzee Mtei ambaye ni mkwe wa Mbowe.
unajua waliokuja na msamiati wa ufisadi hapa Tz kama si CDM au unamiaka mingapi uenda nikawa nabishana strictly under 18,je waweza kunambia kwenye ile list of shame ya DR SLAA pale Mwembe Yanga ni viongozi gani wa CDM walitajwa tofauti na waccm? Au unadhani sisi hatujui historia ya nchi hii yupo wapi BALALI rip in hell.
Kwa siku ya leo tuu CHADEMA imeshaandikwa mara 400 na Mbowe na Dr. Slaa mara 230.Kazi ipo kumbe kuingiza buku 7 sio mchezo eeh
Acheni kuchezea akili za watanzania ukweli ccm imechokwa mbaya na nyinyi na thread zenu za ajabu ajabu ndo mnaimaliza kabisa nyinyiemu yenu
Ulitegemea Slaa ajitaje kuwa amefanya ufisadi kwenye mradi wa maji Karatu ambako ameiba shilingi milini 400?
Soma hapa habarimpya.com - Dk Slaa atuhumiwa kula 400mil Karatu
Mkuu,
Usifanye mzaha.
Kuna watu wameitafuna nchi hii kabla wengine hawajaamka.
nawewe itafune umeshaamka au bado?
unless wewe ni fisadi,huwezi lipa hiyo amount kama wewe ni mtoto wa mkulima masikini.Ukinionyesha sehemu nilipohalalisha ufisadi nitakulipa milioni 10.