Ntale Wi Isumbi
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 480
- 127
Hii biashara ya chadema inalipa sana
Na bado misukule inazidi kumchangia mihela
Kamanda sisi wengine hatuzifahamu biashara za Mbowe unaweza kutufahamisha.Kwa akili yako Mbowe anamiliki biashara moja ya Ukumbi wa Burudani (Billicanas)?
Na kama hajalipa/ halipi kodi huoni kama huo ni udhaifu wa Serikali yetu ya CCM ktk kukusanya kodi?
Na kama, kwa namna yoyote ile walitumia nafasi zao vibaya kwa maslahi binafsi wakiwa watumishi wa UMMA kwa nini serikali haikuwachukulia hatua? Huoni kama huo nao ni udhaifu wa Serikali yetu sikivu ya Chama Cha Mapinduzi?
Mbowe ni mwanaume manake hajafanya ufsadi bali karithi mali za baba yake na kaja kutafuta zakwake nakuziendeleza kwa kiasi kikubwa zile za babaye.
Mimi hakuna wa kunitoa attention yangu kwenye katiba mpya.
Mimi hakuna wa kunitoa attention yangu kwenye katiba mpya.
Ukinionyesha sehemu nilipohalalisha ufisadi nitakulipa milioni 10.
kweli kabisa mkuu hizi salakasi za hawa matahira ni kutuondoa kwenye hoja ya mdingi kwa sasa yaani katiba...
Km ndivyo hujui km mbowe pamoja na mambo ya siasa lkn pia ana biashara zake, watanzania hawana shida na majumba au mali za mbowe na wengineo, watanzania shida yetu ni pale mawaziri na wakuu wa nchi wanapo misuse our resources for their private gain. that is all. hamwezi mkaisafisha ccm kwa kuichafua chadema na viongozi wao, tuelezeni mmetufanyia nini kwa uongozi wenu huu butu.
Kindly update youself here https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...m4c-na-pikipiki-kufisadi-ruzuku-ya-chama.html
Ukinionyesha sehemu nilipohalalisha ufisadi nitakulipa milioni 10.
huyu ndiye marcopolo full kanjanja sasa hapo unataka watu wenye akili wa connect dots kwenye utumbo kama huo fikiri tofauti mkuu utaendelea kulalama nyuma ya keyboard mpaka kiama gamba mkubwa wewe.
Mimi hakuna wa kunitoa attention yangu kwenye katiba mpya.
Balali na CCM wenyewe wanamiliki nini?
Mbowe si kila siku mnamponda hapa eti std seven alikuwa na cheo gani BOT hadi kuweza kuchota Pesa?
mbona Mwigulu aliajiriwa BOT naye ana mabilioni?
kuajiriwa BOT haikufanyi uwe na Mabilioni.
Umezilipia kodi?

Kamanda sisi wengine hatuzifahamu biashara za Mbowe unaweza kutufahamisha.