Nioneshe popote niliponukuliwa kusema unavyosema hapa.
Sijawahi kumjibu Mtei moja kwa moja hata siku moja. Kwenye suala hili msimamo wangu niliuweka wazi hat kabla Mtei Hajasema.
Walioandika wameunganisha tu tweets zangu na kauli ya Mtei ambayo siiungi mkono hata kidogo. Mzee was mistaken.
Tume ya Katiba imeteuliwa kwa mujibu wa sheria. Haina Udini. Ina wajumbe ninaowaheshimu sana. Twende tukatoe maoni. Tuache maneno yasiyo na maana yeyote.
Nadhani ZITTO kasema ukweli wake, uasisi sidhani kama ni rungu la kuwanyima watu uhuru wa kutoa maonianalipiza kisasi mtei alipomshambulia baada ya tamko lake la kuwa tayari kugombea urais fursa ikijitokeza. ila ni hatari kulumbana na waasisi.
Zitto omba radhi
Mbunge wa Kigoma Kaskazini-CDM amesema Mzee Edwin Mtei amefilisika kimawazo kwa kauli yake kwamba tume ya Katiba ina Waislam wengi kuliko wakristo.
Source:JAMBO LEO.
Mawazo ya Mtei yaheshimiwe kama mawazo ya mtu mwingine, tusimshambulie sana. Mawazo ya Mtei siyo tamko rasmi
Zitto anaivuruga CDM, au chadema inamvuruga zitto?? Zitto anapanbana na maadui zake ndani ya chadema wasiotaka kuona chama kinatoka minoni mwa wenye malengo maalum!! Mtoeni zitto ili chama chenu kife ili tanzania iendelee kuwa na amani
Zitto omba radhi
Mawazo ya Mtei yaheshimiwe kama mawazo ya mtu mwingine, tusimshambulie sana. Mawazo ya Mtei siyo tamko rasmi