Mtego | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtego

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Washawasha, Feb 1, 2011.

 1. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Vp wandugu,jamaa mmoja alitaka kumtega mkewe kama anagawa uroda nje ama la,bac ikabidi uongee na mshikaji wake ili wamtege,jamaa akampa note moja ya Tsh 10,000/ huyu mshikaji wake ili amnunue mkewe,mambo yakaenda hivi,
  MSHIKAJI:Shem mambo vp?ujue kitambo mie nakumind ila naogopa kuongea na wewe ila leo liwalo na liwe ukinikatalia poa ukinikubalia poa vilevile
  MKE:he!we vp?
  MSHIKAJI:Mie poa tu kama nilivyokuambia,yaani cntochelewa naingiza na kuchomoa tu nimezidi sana dk 5 nakulipa 10,000/ ca$h,ila hela nitaiweka sakafuni mpaka ukimaliza kuichukua na mie nishamaliza shughuli yangu.
  MKE:ngoja niongee na mume wangu.
  Ikabidi mke ampigie cmu mumewe
  MKE:hallo mume wangu rafiki yako anataka kufanya mapenzi na mimi ila kaniahidi 10,000/ ataiweka sakafuni mpaka mie nikimaliza kuichukua na yeye atakuwa kashamaliza shughuli yake
  MUME:hatochelewa?
  MKE:ndio kasema hatochelewa ni dk 5
  MUME:poa we mpe
  Bac ikabidi mke atoe uroda,baada ya dk 5 mume anampigia cmu mkewe cmu haipokelewi,baada ya dk 45,mke anampigia cmu mumewe
  MUME:he!dk zote hizo ulikuwa unafanya nini?
  MKE:Rafiki yako alizimwaga coins za Tsh 20/ zenye thamani ya Tsh 10,000/tu sakafuni,sasa ilikuwa shughuli kidogo kuzikusanya maana zilikuwa zimemwagika ovyo ovyo.
   
 2. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ahahahahaaa! naona leo umeamua!!1
  Wakati coin zinaokotwa, jamaa alikuwa ameshiklilia kiuno tu au?
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Na hiyo ndio maana yake
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  napenda mitego kama hii,nimpate wapi wa kunitega jamani????:A S 20::A S 20:
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Je?umeolewa au una ATM.
   
 6. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahahaha....nyie hamtegeki kabisaaa, wanaotegeka huwa hawaombi kutegwa.
  :msela:dah kazi kweli kweli...kuokokata sh20 mpaka zitimie elfu10 sio mchezo..next time jamaa anamwaga sh5

   
 7. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kiongozi unajisikia poa sasa?...maana nilidhan utakuwa umejipumzisha baada ya kujichua na maji moto kwa kipigo cha pale polisi..yule dada alisemaje baada ya ww kumtaka akupe tuu Tsh500?
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Yule dada akataka kunipa namba ya simu nikamuambia itabidi asubiri kidogo maana ndio kwanza nimenunua face na naendelea kuzichanga ili nunue betri na vifaa vingine kidogo kidogo mpaka simu itatimia,ila aligoma kunipa Tsh 500 na kunishikisha laki moja polisi wakaitolea macho mpaka basi,wakanibambikia na ganja hapo hapo nikawapoza kwa 10,000/wakatulia,ila kanielekeza anapokaa na kama maumivu yataendelea basi atanipeleka hospitali kesho na jpili kaniahidi nikapate lunch kwake,ila nimefaidi nimepanda Mercedes Benz ya mumewe BURE mpaka nyumbani kwangu,nilivyofika nyumbani nikakutana na haya https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/107343-sikusoma-na-mtu-mwenye-ndevu.html
   
Loading...