Mtego wa panya wamnasa asiyekusudiwa

Mtego wa panya wamnasa asiyekusudiwa

MR. ABLE

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,480
Reaction score
946
Baba mmoja aliona mkewe amepunguza mapenzi kwake, hii ni baada ya mke wake kujifungua mtoto.

basi akaamua kutafuta sumu ya kumuua mtoto,

akaamka mapema akampaka mke wake ile sumu kwenye matiti ili mtoto akinyonya afe, kisha akaondoka kuelekea kazini kama kawaida yake.

Aliporudi baadae akakuta umati wa watu umejaa nyumbani kwake, kimoyomoyo alifurahi sana kwani ametimiza hazma yake ila kufika ndani, akakuta aliyekufa ni HOUSE BOY.

Tafakari nini chanzo cha kifo cha house boy.
 
Ha! Nimesahau najikuta nacheka wakati ni kilio.
 
House boy alikuwa ananyonya na yeye... Ila amepigwa :ban:
 
Back
Top Bottom