johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,147
Ikumbukwe kwa muda sasa Katibu Mkuu wa CHADEMA, mh J J Mnyika na chama chake kwa ujumla wamekuwa hawahudhurii mikutano ya Taasisi ya Demokrasia TCD.
Mwenyekiti mpya wa TCD, komredi Kinana amesema vyama vya siasa viko kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, hivyo amewataka viongozi wa vyama vyote wawe wanakutana mara kwa mara kujadili hali ya kisiasa nchini.
Je, Freeman Mbowe wa CHADEMA atahudhuria?
Maendeleo hayana vyama.