kutengwa kwetu najua na sababu kubwa ndio hio wachezaji wengi wa kigeni.
si unaona mark hughes alivyofukuzwa support waliokuwa wanampa? waliona kama ameonewa lakini angekuwa foreigner kutoka spain huko au france unafikiri wangejali? jamaa wabaguzi kinoma.