Django JF-Expert Member Apr 15, 2013 354 147 Jun 12, 2013 #1 jamaa anatega inzi, umbu na wadudu wote walukao View attachment 97290
sili JF-Expert Member Nov 10, 2011 291 142 Jun 12, 2013 #4 hata hao inzi, umbu na wadudu wataogopa pia nao huwa wana akili ya kutambua kama ili ni tego...
Jile79 JF-Expert Member May 28, 2009 17,668 13,237 Jun 12, 2013 #6 Mmmmmmm...,.evolution bado haija take place kwa hiki kiumbe
Kaitampunu JF-Expert Member Nov 24, 2011 1,995 775 Jun 12, 2013 #7 Django said: jamaa anatega inzi, umbu na wadudu wote walukao View attachment 97290 Click to expand... Una utani na Gwangambo? Wamjua lakini? Wamwita mwenzio mbadadala wa expel? Ngoja aje, wewe tania wengine siyo huyu.
Django said: jamaa anatega inzi, umbu na wadudu wote walukao View attachment 97290 Click to expand... Una utani na Gwangambo? Wamjua lakini? Wamwita mwenzio mbadadala wa expel? Ngoja aje, wewe tania wengine siyo huyu.
kadakokigondile JF-Expert Member May 17, 2013 1,872 634 Jun 13, 2013 #8 Huu mtego unaweza kunasa hata panya achilia mbali Nzi,Mbu na mende unapatikana kariakoo kwenye duka la kona
Huu mtego unaweza kunasa hata panya achilia mbali Nzi,Mbu na mende unapatikana kariakoo kwenye duka la kona
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Aug 10, 2012 47,864 41,215 Jun 14, 2013 #9 Nikiununua hata mimi nitauogopa.
S Supu ya Jiwe Member Feb 21, 2013 5 17 Jun 14, 2013 #10 mdeki said: Mwenyewe yupo humuhumu Click to expand... Naona jamaa ana utani na Gwangambo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016