Mtego wa inzi, na mbu huu hapa unauzwa

hata hao inzi, umbu na wadudu wataogopa pia nao huwa wana akili ya kutambua kama ili ni tego...
 
Mmmmmmm...,.evolution bado haija take place kwa hiki kiumbe
 
Huu mtego unaweza kunasa hata panya achilia mbali Nzi,Mbu na mende unapatikana kariakoo kwenye duka la kona
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom