Mtego uliomnasa Samsoni ,Tundu Lissu aliuepukaje?

Footstep

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2026
Posts
762
Reaction score
1,162
Twende katika uhalisia,

Unashambuliwa Kwa risasi nyingi na maadui, unatibiwa ukiwa hujitambui, na baada ya siku kadhaa unafumbua macho, unarudia tena utimamu wako.

Unawauliza waliokuzunguka kwamba ilikuwaje, unasimuliwa yaliyojiri, unayapokea na kumwachia Mungu.

Sàsa baada ya muda kidogo, unaambiwa Pana mama mmoja Toka Kambi ya maadui ambao wanaaminika kuhusika na kushambuliwa kwako amekuja kukusalimu kwamba yeye ni mwenye moyo mwema, hakupendezwa na kushambuliwa kwako, unasema mruhusu aingie, anaingia.

Baada ya muda kupita, yule yule aliyekuja kukupa pole ukiwa kitandani mgonjwa unaarifiwa ndiye kiongozi Kwa Sasa. Katika hali ya kawaida kibinadamu, tena Kwa mwanaume, mama yule ungemwamini Kwa zaidi ya 50%

Sasa mama huyo huyo anakuja tena, mnaongea na baadhi ya matakwa yako ya awali anatekekeza, Sasa anakuomba useme na chama chako kije meza ya maridhiano ili kupata katiba mpya.

Mwenyekiti wa chama anapokea offer Kwa mikono miwili ila Tundu Lissu akasita kuyaamini maridhiano hayo Kwa haraka na kudokeza kuwa mama yule asiaminike ni LAGHAI.

Kwa kawaida Tundu Lissu angepasa kuwa chawa Kwa mama yule na kumwamini Kwa aliyomtendea ambayo Kwa nje yangeonekana ni ubinadamu.

Sasa Kwa vile Tundu Lisu aligoma kutoa password,mama yule akatoa makucha na kumpa kesi ya uhaini ili anyongwe, Yani yule yule aliyekutembelea hospitalini, ataka unyongwe Hadi ufe.

Kiukweli Tundu Lissu aombewe sana Maana Kuna namna Ataivusha nchi yetu once and for all.

Mimi Hadi Leo najiuliza, mwanaume mwenye nguvu Samsoni aliangushwa mtegoni na Delila, Tundu Lissu amewezaje wezaje kuuepuka mtego ule?

Nimemaliza ,naomba majibu.
 
Twende katika uhalisia,

Unashambuliwa Kwa risasi nyingi na maadui, unatibiwa ukiwa hujitambui, na baada ya siku kadhaa unafumbua macho, unarudia tena utimamu wako.

Unawauliza waliokuzunguka kwamba ilikuwaje, unasimuliwa yaliyojiri, unayapokea na kumwachia Mungu.

Sàsa baada ya muda kidogo, unaambiwa Pana mama mmoja Toka Kambi ya maadui ambao wanaaminika kuhusika na kushambuliwa kwako amekuja kukusalimu kwamba yeye ni mwenye moyo mwema, hakupendezwa na kushambuliwa kwako, unasema mruhusu aingie, anaingia.

Baada ya muda kupita, yule yule aliyekuja kukupa pole ukiwa kitandani mgonjwa unaarifiwa ndiye kiongozi Kwa Sasa. Katika hali ya kawaida kibinadamu, tena Kwa mwanaume, mama yule ungemwamini Kwa zaidi ya 50%

Sasa mama huyo huyo anakuja tena, mnaongea na baadhi ya matakwa yako ya awali anatekekeza, Sasa anakuomba useme na chama chako kije meza ya maridhiano ili kupata katiba mpya.

Mwenyekiti wa chama anapokea offer Kwa mikono miwili ila Tundu Lissu akasita kuyaamini maridhiano hayo Kwa haraka na kudokeza kuwa mama yule asiaminike ni LAGHAI.

Kwa kawaida Tundu Lissu angepasa kuwa chawa Kwa mama yule na kumwamini Kwa aliyomtendea ambayo Kwa nje yangeonekana ni ubinadamu.

Kiukweli Tundu Lissu aombewe sana Maana Kuna namna Ataivusha nchi yetu once and for all.

Mimi Hadi Leo najiuliza, mwanaume mwenye nguvu Samsoni aliangushwa mtegoni na Delila, Tundu Lissu amewezaje wezaje kuuepuka mtego ule?

Nimemaliza ,naomba majibu.
🐒
 
Attachments

  • 550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    218 KB · Views: 1
Yule mama na jiwe kweri kweri ndiyo walipanga Mnyammpaa auawe. Na ile ya mother kwenda kumuona hospitalini ilikuwa siyo kwa sababu ya ubinadamu, bali ilikuwa ni kutaka kujua kama mnyampaa atavuta au laa.
Ripoti ilipomfikia jiwe kweri kweri kwamba mnyampaa ata survive, Jiwe akamvutia waya ndungayeye asimpe mnyampaa mshahara wala pesa ya matibabu— akiamini mnyampaa akikosa pesa ya matibabu atadanja.
Kwamba mchawi lazima akultee uji wodini ili akumalizie!
 
Twende katika uhalisia,

Unashambuliwa Kwa risasi nyingi na maadui, unatibiwa ukiwa hujitambui, na baada ya siku kadhaa unafumbua macho, unarudia tena utimamu wako.

Unawauliza waliokuzunguka kwamba ilikuwaje, unasimuliwa yaliyojiri, unayapokea na kumwachia Mungu.

Sàsa baada ya muda kidogo, unaambiwa Pana mama mmoja Toka Kambi ya maadui ambao wanaaminika kuhusika na kushambuliwa kwako amekuja kukusalimu kwamba yeye ni mwenye moyo mwema, hakupendezwa na kushambuliwa kwako, unasema mruhusu aingie, anaingia.

Baada ya muda kupita, yule yule aliyekuja kukupa pole ukiwa kitandani mgonjwa unaarifiwa ndiye kiongozi Kwa Sasa. Katika hali ya kawaida kibinadamu, tena Kwa mwanaume, mama yule ungemwamini Kwa zaidi ya 50%

Sasa mama huyo huyo anakuja tena, mnaongea na baadhi ya matakwa yako ya awali anatekekeza, Sasa anakuomba useme na chama chako kije meza ya maridhiano ili kupata katiba mpya.

Mwenyekiti wa chama anapokea offer Kwa mikono miwili ila Tundu Lissu akasita kuyaamini maridhiano hayo Kwa haraka na kudokeza kuwa mama yule asiaminike ni LAGHAI.

Kwa kawaida Tundu Lissu angepasa kuwa chawa Kwa mama yule na kumwamini Kwa aliyomtendea ambayo Kwa nje yangeonekana ni ubinadamu.

Kiukweli Tundu Lissu aombewe sana Maana Kuna namna Ataivusha nchi yetu once and for all.

Mimi Hadi Leo najiuliza, mwanaume mwenye nguvu Samsoni aliangushwa mtegoni na Delila, Tundu Lissu amewezaje wezaje kuuepuka mtego ule?

Nimemaliza ,naomba majibu.
Bonge moja la uzi.

Tundu Lissu ana ulinzi mkali wa kiroho kwa sababu dhamira yake kwa taifa ni safi na haina makandokando.

Siku tukimpata Lissu kama Rais, na wasipomfanyia figisu katika uongozi wake, Tanzania itapiga hatua za haraka kijamii na kiuchumi hadi dunia itashangaa.
 
Amevuka mtego muhimu sana,

Mwanamke akikuwekea mtego, ngumu sana kutoboa.

Mungu amtunze.
 
Twende katika uhalisia,

Unashambuliwa Kwa risasi nyingi na maadui, unatibiwa ukiwa hujitambui, na baada ya siku kadhaa unafumbua macho, unarudia tena utimamu wako.

Unawauliza waliokuzunguka kwamba ilikuwaje, unasimuliwa yaliyojiri, unayapokea na kumwachia Mungu.

Sàsa baada ya muda kidogo, unaambiwa Pana mama mmoja Toka Kambi ya maadui ambao wanaaminika kuhusika na kushambuliwa kwako amekuja kukusalimu kwamba yeye ni mwenye moyo mwema, hakupendezwa na kushambuliwa kwako, unasema mruhusu aingie, anaingia.

Baada ya muda kupita, yule yule aliyekuja kukupa pole ukiwa kitandani mgonjwa unaarifiwa ndiye kiongozi Kwa Sasa. Katika hali ya kawaida kibinadamu, tena Kwa mwanaume, mama yule ungemwamini Kwa zaidi ya 50%

Sasa mama huyo huyo anakuja tena, mnaongea na baadhi ya matakwa yako ya awali anatekekeza, Sasa anakuomba useme na chama chako kije meza ya maridhiano ili kupata katiba mpya.

Mwenyekiti wa chama anapokea offer Kwa mikono miwili ila Tundu Lissu akasita kuyaamini maridhiano hayo Kwa haraka na kudokeza kuwa mama yule asiaminike ni LAGHAI.

Kwa kawaida Tundu Lissu angepasa kuwa chawa Kwa mama yule na kumwamini Kwa aliyomtendea ambayo Kwa nje yangeonekana ni ubinadamu.

Kiukweli Tundu Lissu aombewe sana Maana Kuna namna Ataivusha nchi yetu once and for all.

Mimi Hadi Leo najiuliza, mwanaume mwenye nguvu Samsoni aliangushwa mtegoni na Delila, Tundu Lissu amewezaje wezaje kuuepuka mtego ule?

Nimemaliza ,naomba majibu.
Looh, umefikiri sana...

Watu wengi wanadhani kuwa, ili uitwe mtumishi wa Mungu au mtume au nabii lazima uwe connected na dini au dhehebu fulani la dini...

Ukweli ni kuwa, Mungu Yahweh anaweza kumchagua mtu yeyote aliye katika sekta yeyote ya kimaisha ili atimize kusudi lake fulani kwa watu wake hapa duniani...

Mfano;

✓ Musa aliyeiangusha serikali yote ya Mfalme Farao wa taifa kubwa na lililokuwa na nguvu ya kisiasa, kijeshi na kiuchumi la Misri ya kale na hakuwa shekhe wala mchungaji wala Askofu wa kanisa lolote...!!

✓ Daudi aliyekuwa mchungaji tu wa kondoo porini, lakini ndiye aliyechaguliwa na Mungu kuwa Mfalme wa Israel baada ya Sauli kuasi na kuwa muuaji kama alivyo Samia Suluhu Hassan leo...!

✓ Yusufu alikuwa mfungwa tu gerezani lakini katika mazingira ambayo ni ngumu kuamini, Mungu alivyo fundi wa mafundi wote alitengeneza njia ya kumtoa gerezani na kumfanya kiongozi mkuu wa pili katika nchi ya kigeni (ya utumwani) yaani Misri na akawa ni mwokozi mkuu wa ulimwengu kutoka katika janga la njaa lililoikumba dunia wakati huo na ndiye akawa mwokozi wa taifa teule la Mungu yaani Israel...

Mifano iliyotunzwa na historia ni mingi sana ili sisi tujifunze leo

Na itoshe kusema;

1. Kusudi la Mungu halizuiliwi na binadamu yeyote..

2. Kusudi la Mungu halizuiliwi na mauti, gereza wala kesi ya uhaini au ugaidi...

3. Tundu Lissu kama amekusudiwa kuwa mtu mkuu katika taifa na nchi yetu, there's no way atazuilika. SI mauti, SI kesi wala SI kesi ya aina yoyote...

Na kwa taarifa yao ni kuwa, MAUTI KWA LISSU IMEFUNGWA KATIKA GEREZA LA KUZIMU KWANZA. HAWEZI KUFA KWA VYOVYOTE MPAKA ATIMIZE KUSUDI LA MUNGU ALILOTUMWA KULIFANYA...!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom