Mtego mpya wa kunasia Mbususu

Kama Savana za elfu 10 tu Zina nasa samaki ...mbinu ya kucheki afya itashindwaje....?

Hapa ndio Kama demu alikua ni bahamedi kapinda ile ile akienda kucheki afya akajikuta yupo fiti na ukamuweka ndani atatuliaaa ...mlokole akasome
Duh kumbe wanatuliaga hao eeh
 
Daah mbinu ya kishamba sana hii aisee na sijawahi ona ufala kama huu
 
Ngoja waje
FB_IMG_16357685162739964.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mleta uzi kasahau kutoa maelekexo muhimu hapa;

Hii mbinu itafanya kazi kama una gari kali, kazi ya uhakika, nyumba ya kuishi plus udambwi udambwi unaohusiana na pesa.

Kila la kheri wasaka mbususu.
 
Back
Top Bottom