Mtego mpya wa kunasia Mbususu

Mtego mpya wa kunasia Mbususu

Hii mbinu hii ngoja itokee mtu Boko huko, akapime akute yeye ndio amewasha [emoji23]
Hii mbinu makini mzee ni mbinu inayo onekana ya kijinga ila ni mbinu makini Sana alafu inafaida
 
Aseee!hivi mimi ni wa kike kweli?sidhani

Hiyo njia kwangu haiwezi kufanya kazi kwangu aseee
Nikikutana na mwanaume mpya kama ni suala la kupima nitamzungusha weeee ili nikapime mwenyewe kwanza ndio twende wote

Haiwezekani tukutane tu tuongozane wote tukapime HIV kizembezembe kama tunaenda kupima UTI

Kasema ina ufanisi asilimia 80, wewe uko kwenye zile 20.
 
Aah wapi!!
Kwa style zako za kutega danga wastaafu, labda wale chuchu kusimama mpaka uwakute wanapiga deki ndio unaruka nao..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
Nenda inbox utaona mfano wa ninavyo kula
 
Kama ilivyo kwetu wanaume Mara zote tunatumia mbinu nyingi nyingi ili tu tuweze kula mbususu za wadada wa watu.


Katika njia hizo zipo njia salama na zipo za hatari ...Basi Leo katika utafiti wengu nimekuja na hii njia kwangu imefanya kazi kwa asilimia 80 na naamini hata kwako itafanya kazi tu kwa sababu wote tunatumia wanawake Hawa Hawa.

Basi kisaikolojia wanawake saizi walio wengi wamechoka kudanga wanataka wafanye maisha halisi na ya halali.

Baada ya kudanga huku na huko ...huku wakicheza rafu bila kujali afya zao na wamekua waoga wa kwenda kucheki afya zao kwa sababu wameishi maisha ya hatari ya kukata tamaa na maisha hivyo hawana uhakika na afya zao na hichi kinawaumiza Sana kisaikolojia japo wanajifanya wanacheka na wanafuraha lkn wakifikiria mustakabali mzima wa afya zao huwa lazima wawe wapole na kuumia kimoyomoyo.

Basi kupitia Hilo tatizo walilo nalo Mimi Kama baharia nisie tambulika na chama nikapata fursa kupitia Hilo. Fursa yenyewe ndio hii.

Tafuta mwanamke yoyote une mkubali au omba hata namba njiani kwa mwanamke unae ona anakufaa kwa matumizi alafu muombe mkapime VVU(akusindikize), ukiulizwa kwa nini yeye mjibu majibu ya kiume Kama vile nimependelea tu Mimi na wewe tujue afya zetu kwa ajiri ya maisha yetu ya badae.

Kwanza kwa kutumia njia hii atakuona wewe ni mkosaji mwenzie na ni mpambanaji mwenzie na utakua umechukua umakini(tention) wake kwa asilimia kubwa na kujenga uaminifu mkubwa na wewe ....na kuona unamjali ...na Kama kawaida mwanamke akishajua unamjali kifuatacho Nini Tena hapo....

Akisha weka hii Imani usizingue hakikisha hii ahadi inatekelezeka [emoji1][emoji1] ila Kama ulikua unatest zari kumbe na wewe ni tiamaji tiamaji imekula kwako. Kama unajiamini upo fiti nenda nae kapime ...na mkitoka wote mpo fresh mzee mbususu unakula siku hiyo hiyo na atatokea kukuona Kama wewe ni mkombozi wake


Kazi kwenu na nawatakia uchakataji mwema .
Ukiwa huna pesa huwezi jua ni jinsi gani mapenzi yanatutesa sisi matajiri yani bora nyie..[emoji174][emoji87]
 
Kuna watu mna mahangaiko ya dunia
 
Ahahaha.."nikikutana na mwanaume mpya"
Allooo mbususu zenu hakika zinachakatwa mpaka kuchakaa...
Ndio mana nying huwa kama zina sugu na weus weus kama ukurutu..

Umefikiria nje ya nilichomanisha
 
Ukiwa huna pesa huwezi jua ni jinsi gani mapenzi yanatutesa sisi matajiri yani bora nyie..[emoji174][emoji87]
Kama unahisi labda Mimi masikini Sana ndio maana nazila mbususu kwa kwa style hiyo ........Basi namba yangu hii hapa

+1 (207) 640-2179
 
Hiyo mbususu ni yakawaida mno Kati ya nilizo chomvya
 
Kwa hio hiyo ya inbox uliichakata?
Hebu nipe story uliichakata vipi?
 
Kwa hio hiyo ya inbox uliichakata?
Hebu nipe story uliichakata vipi?
Wenzio wanaomba nafasi ya kujua jinsi ya kufanya nao wajue ....Sasa kwa sababu wewe upo kwa ajiri ya ubishi kaa hivohivo
 
Back
Top Bottom