Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

Mtego huu balaa, ingekuwa wewe binti ungeuchomoa

cataliya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
458
Reaction score
361
Salam kwa wana jamvi wote.

Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tu.
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini.

Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje.

Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu.

Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi dinner alikuwa havikosi.
Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye.

Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie najua kuwa tabia yake ni halafu.

Sasa jana si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi.

After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a big deal, nikamtonya shosti yangu akaniambia usiogope nothing he shall do to you! Hao mpaka coloessum

After coffee akasema twende ukaone mahali ninapoishi nkamwambia poa.

Kufika hapo, akaanza can we spend a night together tomorrow?

Nikamwambia what will be the reward? huwezi nikunja usiku mzima for nothing atiiiii, cause i know hakuna love.

Boss aka offer 500,000/ nikamwambia labda millioni tano.

Kapanda mpaka 3.5 mil nikasema 5 mil cash final + HIV test.

Akasema hapana that is too much! nIkamwambia then call it a day and take me home.

Sasa this morning at work he texted me, the offer is granted come and pick your cash.

Nimeenda kwa ofisi nikamwambia my mind has changed keep your dirty money with you.

He looked at me with a surprise usoni, I told him i thought few days after the incident will i be able to work again and a thought mapenzi ofisini ni upuuzi mtupu.

He said good thoughts, u re too emotional.

He ended we shall be always frends & anything you need just tell me will be glad to help.

Nice day MMU crew.
 
Mbona tayari umeutegeua mtego.
Shukuru huyo jamaa si mbabe,angekubaka mzimamzima unanafikiri ungefanyaje zaidi ya kuendelea kumkatia mauno+no HIV test
You had a nasty decision to pay a vist to your boss's compound and it was very risk.
Afu nyinyi ukipata shida kesho unazitaka 5ml
 
Alikustahi tu, umeingia hadi ndani kwake ndo unaanza kubargain?
Angeamua angekula tunda tena bila hata kupima na 5m wala usingeziona
Next time usithubutu kwenda nyumbani kwa mwanaume kama huna mpango nae
 
Sasa kama wewe bikra, wodi ya wazazi ulikuwa unatafuta nini? Seriously?

Sitashangaa baada ya miezi kadhaa akikuvua, ushaingia wodini.

Hapana Kongosho!

Lengo ilikuwa aione kubwa na apotezee kumbe alimaanisha!!!!!!!

Usinielewe vibaya!!
 
Umeniangusha rafiki yangu....siku zote huwa naamini wewe ni binti mwerevu.

Hapana Kongosho!

Lengo ilikuwa aione kubwa na apotezee kumbe alimaanisha!!!!!!!

Usinielewe vibaya!!
 
Back
Top Bottom