J JOVIAL JOHN New Member Joined Aug 9, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Sep 14, 2012 #1 Wavuta bangi wawili walikuwa wamekaa kijiweni wanavuta bangi,mara ndege ikapita. Mvuta bangi1:"Hio ndege lazima itakuwa imebeba Rais!" Mvuta bangi2:"Hapana imebeba wazungu tu,ingekuwa imebeba Rais ungeona pikipiki mbele na ving'ora vikilia!!"
Wavuta bangi wawili walikuwa wamekaa kijiweni wanavuta bangi,mara ndege ikapita. Mvuta bangi1:"Hio ndege lazima itakuwa imebeba Rais!" Mvuta bangi2:"Hapana imebeba wazungu tu,ingekuwa imebeba Rais ungeona pikipiki mbele na ving'ora vikilia!!"
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Sep 14, 2012 #2 Hahahahahaaaaaa!!!!...