baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,478
- 2,226
Ndugu wana jf,
Kama ilivyo kwa vyuo vikuu kuwabakiza na kuwaendeleza wale vipanga wenye GPA kubwaa wawe walimu kwanini huku ngazi ya chini goli ni kubwa la kila mtu kuweza kusomea ualimu?
Kwanini wale wanaopata division one form four na six ndo wasisomee ualimu?
Nahisi serikali inabidi iliangalie hili kwa jicho lingine ili kuweza kukuza taaluma yetu kuliko kuruhusu hawa low performer kusomea ualimu maana wanashusha taaluma.