Mtazamo wangu juu ya Makonda na TEF

Mtazamo wangu juu ya Makonda na TEF

Narudia tena kugoma kuandika habari zake hakumkomoi Makonda...Ili mradi anatekeleza majukumu yake na kulipwa mshahara...anaekomolewa ni mwananchi wa kawaida anaenyimwa hbr zinazomuhusu mkuu wa Mkoa na mkoa wake.
Hata mwananchi hana anachokomolewa....

Hizo habari sio oksejen kwamba wakizikosa watakufa....

Labda vyombo husika ndio vinaingia hasara

Kikubwa ni pande zote waombane radhi....
 
Back
Top Bottom