kindikwili
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 1,862
- 2,876
Hakuna taaluma ya kijinga kwenye hii nchi kama ya uandishi wa habari. Serikali na jamji haijawekeza vya kutosha kuhakikisha wanaoenda kusomea kozi ya uandishi wa habari wanakuwa ni watu competent wakiwa advance. Yaani hii ni kozi inayisomwa na wanafunzi waliokuwa wavivu darasani ,waliopata division four au Zero advance au O Level. Kisha wakakimbia vyuo uchwara zilizoko vichochoroni maeneo ya buguruni, city centre ,tegeta na huko mbagala. Vyuo visivyo na syllabus wala usimamizi. Kama aliyeandika thread hii ni mwandishi wa habari unaweza kubashiri kwamba huyu alipata dv gani form four au six.kwa kifupi huyu kanonesha uwezo halisi ya waandishi wetu. Sijajua wale wanaosoma UDSM journalism and mass communication wanaishiaga wapi , sijui wameajiriwa wapi maana sioni kazi zikifanyika sawa na degree au masters yao. NDUGU DULLY SANTOS NISAMEHE KWA KUSEMA HAYA KWA HUU MTAZAMO WAKO HUPASWI KUJIITA MWANDISHI WA HABARI, WALA KUWA MCHORA KATUNI. UNA UELEWA MDOGO ULIOCHANGANYIKANA NA NJAA KALI YA UELEWA NA TUMBO. HUWEZI KUSEMA RC KWENDA CLOUDS USIKU NA SILAHA TENA KULAZIMISHA CLIP YA KUMCHAFUA GWAJIMA IONESHWE INA MFUNGAMANO NA CHEO CHAKE CHA UKUU WA MKOA. Hujielewi bora ukajiandikishe QT.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app