dully santo
JF-Expert Member
- Apr 12, 2014
- 260
- 334
- Thread starter
- #21
Akili ni nywele sa inawezekena zako hazikuwahi kuota kabisa au unavinyeleo tu!
Ahsante mkuu ila andiko langu limetoa tahadhari juu ya kufuata mkumbo.
Akili ni nywele sa inawezekena zako hazikuwahi kuota kabisa au unavinyeleo tu!
Makonda akizungumza Star TV alisema,alikwenda pale kama ilivyokuwa kawaida yake kila siku kwenda clouds. Kulikuwa na dokmentari inaandaliwa pale kuhusu siku 100 tangu ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa.Kuna kitu umesahau.
Makonda kama unavyojua alikuwa na bifu na gwajima.sasa makonda alikuwa na kipindi kilichomuhusu mwanamke ambaye inadaiwa gwajima kazaa nae.makonda akasubiri kipindi kirushwe akaona kimya.ndo kwenda huko clouds kuhoji kwanini kipindi hakijarushwa.
Kilichotokea huko mimi sijui.
Nilimsikia ruge siku ile alipo kuwa anatoa ufafanuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najaribu kujifikirisha, tu kama katumwa na aliyemteua , yooote yaliyotokea kaamua kuwapatanisha Iweje mpatanishwaji(mkosaji) ashindwe kujiongeza na kuomba msamahaAliemteua
Kabla ya kuwa tusi ni fikra za (msomaji,muandishi)Taratibu, mtakuja kuandikaga matusi hivi hivi mnajiona. Sitaomba.
Rudi upya kaanze kufanya utafiti wako ndugu umesahau pamoja na rc kuwa chairman WA kamati ya usalama mkoa bado sio muongoza kikosi kwenye operation yoyote ya usalama??privacy gani iwepo kati ya clouds media na serikali km mpk Anton Dialo was fired na kufedheheshwa sana tu kwa kudaiwa ??Naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu suala linaloendelea kati ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Mkuu wa mkoa wa Dar-es-salaam Paul Makonda.
Naomba ieleweke kwamba haya ni maoni yangu binafsi , sijashurutishwa na mtu ila ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi juu ya suala hili.
Kwanza kabisa nianze na suala lenyewe la Makonda kwenda Clouds bila taarifa na baadae vyombo vyote vya habari kuripoti kuwa “Makonda Kavamia clouds”. Uchunguzi wangu ulianzia hapa……Je Mkuu wa Mkoa anaweza kuwa mvamizi? Ikumbukwe kuwa RC ni mwakilishi wa rais katika ngazi ya mkoa lakini pia ndie Mwenyekiti wa Usalama wa mkoa, inakuaje akawa mvamizi?.
Je ikiwa alikwenda kwa ajili ya upekuzi katika eneo lile, atakuwa amekosea? Makonda angelikuwa ni mbunge tungekuwa tuna haki ya kumuita mvamizi lakini ni Mwakilishi wa rais ngazi ya mkoa na pia ni mwenyekiti wa usalama wa mkoa hawezi kuwa mvamizi.
Baraza la Habari linataka makonda aombe radhi….Swali la kujiuliza ni Je Makonda alifanya kosa gani? (Kumbuka kutokana na vyeo vyake hatuwezi kutumia neno mvamizi)….Nilichogundua juu ya hili, wanahabari wengi tunafuata mkumbo bila kufanya uchunguzi wa tukio lenyewe.
TEF walitoa tamko kuwa vyombo vyote vya habari visiandike habari zinazomuhusu Makonda mpaka pale atakapoomba radhi.
Wiki chache baadae Wahariri waandamizi wakaandaliwa warsha (seminar) na TANAPA ya wiki nzima wakaenda Tanga.
Haikupita muda Mheshimiwa Rais akawakutanisha huko huko Tanga Makonda na Ruge mbele ya kadamnasi na akowaomba wamalize tofauti zao.
Wiki chache baadae TEF wakaitisha Press na kusema kwamba wamemalizana na Makonda na habari zake ziandikwe kwenye vyombo vya habari.
Hivi mpaka hapa bado hamjagundua kitu? Mheshimiwa rais hakutaka yawe wazi yaliyotokea lakini sisi tunataka tufahamu kila kitu ilhali hawa ndio viongozi.
Kuna kitu kinaitwa ‘Privacy’ (Usiri/faragha) kila binadamu anacho hiki….anaficha yale anayoona hayapaswi kufahamika kwa watu wengine vivyo hivyo kwa serikali haiwezi kuanika kila tukio/ taarifa kwa wananchi wake. Ikiwa rais amesema yaishe ni kwa nini tunataka Makonda aombe radhi.
Naomba ieleweke kuwa hii radhi anayoombwa Makonda aitamke haipo kisheria isipokuwa ni busara…..Sasa kwa matukio haya yotee bado hujajiongeza?.
Kuzuia vyombo vya habari visitoe habari za Makonda hakumkomoi Makonda bali anaekomolewa ni mwananchi anaetaka kujua kiongozi wake anafanya nini kwani hata yeye kuna mengine hapendi yaandikwe, kwa hili la kutoandikwa habari zake kwenye vyombo vya habari kisa kikiwa ni tukio la Clouds, mimi binafsi nasema ‘NO’ ila kama kuna jingine sawa…….lakini pia hili suala la kuzuia Totally habari zake ni kumnyima mwananchi habari.
Ikitokea wananchi wakavishtaki vyombo vya habari watakuwa wana kosa? Mana wananyimwa habari……Naomba nimalizie kwa kusema kuwa hili jambo ni vema limalizike mana kama mpaka rais ameamua kuliingilia na kulimaliza sisi tunapaswa tuheshimu busara zake…….Ya Ngoswe muachie Ngoswe.
Dull Santo
(Mwanahabari)
Tusi ni fikra za muhusikaTaratibu, mtakuja kuandikaga matusi hivi hivi mnajiona. Sitaomba.
Kwanini watu wanapatanishwa? Maana yake kuna sintofahamu kati yao,Aliemteua
Naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu suala linaloendelea kati ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Mkuu wa mkoa wa Dar-es-salaam Paul Makonda.
Naomba ieleweke kwamba haya ni maoni yangu binafsi , sijashurutishwa na mtu ila ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi juu ya suala hili.
Kwanza kabisa nianze na suala lenyewe la Makonda kwenda Clouds bila taarifa na baadae vyombo vyote vya habari kuripoti kuwa “Makonda Kavamia clouds”. Uchunguzi wangu ulianzia hapa……Je Mkuu wa Mkoa anaweza kuwa mvamizi? Ikumbukwe kuwa RC ni mwakilishi wa rais katika ngazi ya mkoa lakini pia ndie Mwenyekiti wa Usalama wa mkoa, inakuaje akawa mvamizi?.
Je ikiwa alikwenda kwa ajili ya upekuzi katika eneo lile, atakuwa amekosea? Makonda angelikuwa ni mbunge tungekuwa tuna haki ya kumuita mvamizi lakini ni Mwakilishi wa rais ngazi ya mkoa na pia ni mwenyekiti wa usalama wa mkoa hawezi kuwa mvamizi.
Baraza la Habari linataka makonda aombe radhi….Swali la kujiuliza ni Je Makonda alifanya kosa gani? (Kumbuka kutokana na vyeo vyake hatuwezi kutumia neno mvamizi)….Nilichogundua juu ya hili, wanahabari wengi tunafuata mkumbo bila kufanya uchunguzi wa tukio lenyewe.
TEF walitoa tamko kuwa vyombo vyote vya habari visiandike habari zinazomuhusu Makonda mpaka pale atakapoomba radhi.
Wiki chache baadae Wahariri waandamizi wakaandaliwa warsha (seminar) na TANAPA ya wiki nzima wakaenda Tanga.
Haikupita muda Mheshimiwa Rais akawakutanisha huko huko Tanga Makonda na Ruge mbele ya kadamnasi na akowaomba wamalize tofauti zao.
Wiki chache baadae TEF wakaitisha Press na kusema kwamba wamemalizana na Makonda na habari zake ziandikwe kwenye vyombo vya habari.
Hivi mpaka hapa bado hamjagundua kitu? Mheshimiwa rais hakutaka yawe wazi yaliyotokea lakini sisi tunataka tufahamu kila kitu ilhali hawa ndio viongozi.
Kuna kitu kinaitwa ‘Privacy’ (Usiri/faragha) kila binadamu anacho hiki….anaficha yale anayoona hayapaswi kufahamika kwa watu wengine vivyo hivyo kwa serikali haiwezi kuanika kila tukio/ taarifa kwa wananchi wake. Ikiwa rais amesema yaishe ni kwa nini tunataka Makonda aombe radhi.
Naomba ieleweke kuwa hii radhi anayoombwa Makonda aitamke haipo kisheria isipokuwa ni busara…..Sasa kwa matukio haya yotee bado hujajiongeza?.
Kuzuia vyombo vya habari visitoe habari za Makonda hakumkomoi Makonda bali anaekomolewa ni mwananchi anaetaka kujua kiongozi wake anafanya nini kwani hata yeye kuna mengine hapendi yaandikwe, kwa hili la kutoandikwa habari zake kwenye vyombo vya habari kisa kikiwa ni tukio la Clouds, mimi binafsi nasema ‘NO’ ila kama kuna jingine sawa…….lakini pia hili suala la kuzuia Totally habari zake ni kumnyima mwananchi habari.
Ikitokea wananchi wakavishtaki vyombo vya habari watakuwa wana kosa? Mana wananyimwa habari……Naomba nimalizie kwa kusema kuwa hili jambo ni vema limalizike mana kama mpaka rais ameamua kuliingilia na kulimaliza sisi tunapaswa tuheshimu busara zake…….Ya Ngoswe muachie Ngoswe.
Dull Santo
(Mwanahabari)
Makonda akizungumza Star TV alisema,alikwenda pale kama ilivyokuwa kawaida yake kila siku kwenda clouds. Kulikuwa na dokmentari inaandaliwa pale kuhusu siku 100 tangu ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa.
Aliomba copy ya dokmentari hiyo wakati akitoka na ndio njia waliyoitumia clouds kudai suala la Gwajima.
Ukweli halisi wa tukio hilo wanalo clouds na Makonda. Wengine tunahukumu kwa ushabiki
Ile video uliiona?
Je ni sahihi kwake kwenda kituo cha reduo na askari wenye silaha???
Sio binadamu?
Kuwa mwakilishi kunampa mandate ya kuibuka tu?
Alifuata utaratibu mfano kuwajulisha wahusika kuwa anakwenda???
Je haiwezekani kutumia huo uwakilishi wake vibaya?
Alikuwa na search warrant???? Je mhusika ni askari mpaka asearch? Je mamlaka ya cheo chake kinampa mandate(rekebisheni kizungu hapo) ya kusearch
Kama hakuwa na mandate ya kufanya alivyofanya basi aombe tu hakuna namna.....
Kuna ubaya gani unaowaongoza wakifahamu? Ukizingatia imeleta sintofahamu?
Wangeihandle hiyo issue kitofauti wala wasingemsumbua rais kuwapatanisha..... next time ishu kama hizo wazihandle kibusara ili kutokumuingiza rais katika sintofahamu kama hizo
Busara inatakiwa kwa nani hapa?
Vyombo vya habari vya serikali vyote hivi vilivyopo wananchi hawawezi kukosa habari zake........ au na wao wamegoma???
Anyway
Nilikuwa napita tu sema vidole hivi vilikosa simile...
Aya ni mawazo ya ajabu sana ni nan alyesema Kama kiongozi akiwa aandikwi itakua kazi zake azionekani?
Ila kinachomsumbua makonda mpaka Leo ni uongozi wakutafuta kiki kwaio anajua acpotangazwa atasahaulika,wakati uongoz upimwa kwa vitendo vyako vya uwajibikaji wa ndani ya kazi yako.
Kwa lile la clouds makonda alikosea anapaswa kabsa aombe radhi tena akumbuke Kama ana Deni la nnauye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo siku Makonda atakuingilia chumbani kwako ukiwa na mkeo ndio utaelewa kuwa Mkuu wa mkoa ni mwakilishi wa rais na anaweza kuingia popote na mitutu ya bunduki, ulivyo na akili fupi kama kukuNaomba nitoe mtazamo wangu kuhusu suala linaloendelea kati ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Mkuu wa mkoa wa Dar-es-salaam Paul Makonda.
Naomba ieleweke kwamba haya ni maoni yangu binafsi , sijashurutishwa na mtu ila ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi juu ya suala hili.
Kwanza kabisa nianze na suala lenyewe la Makonda kwenda Clouds bila taarifa na baadae vyombo vyote vya habari kuripoti kuwa “Makonda Kavamia clouds”. Uchunguzi wangu ulianzia hapa……Je Mkuu wa Mkoa anaweza kuwa mvamizi? Ikumbukwe kuwa RC ni mwakilishi wa rais katika ngazi ya mkoa lakini pia ndie Mwenyekiti wa Usalama wa mkoa, inakuaje akawa mvamizi?.
Je ikiwa alikwenda kwa ajili ya upekuzi katika eneo lile, atakuwa amekosea? Makonda angelikuwa ni mbunge tungekuwa tuna haki ya kumuita mvamizi lakini ni Mwakilishi wa rais ngazi ya mkoa na pia ni mwenyekiti wa usalama wa mkoa hawezi kuwa mvamizi.
Baraza la Habari linataka makonda aombe radhi….Swali la kujiuliza ni Je Makonda alifanya kosa gani? (Kumbuka kutokana na vyeo vyake hatuwezi kutumia neno mvamizi)….Nilichogundua juu ya hili, wanahabari wengi tunafuata mkumbo bila kufanya uchunguzi wa tukio lenyewe.
TEF walitoa tamko kuwa vyombo vyote vya habari visiandike habari zinazomuhusu Makonda mpaka pale atakapoomba radhi.
Wiki chache baadae Wahariri waandamizi wakaandaliwa warsha (seminar) na TANAPA ya wiki nzima wakaenda Tanga.
Haikupita muda Mheshimiwa Rais akawakutanisha huko huko Tanga Makonda na Ruge mbele ya kadamnasi na akowaomba wamalize tofauti zao.
Wiki chache baadae TEF wakaitisha Press na kusema kwamba wamemalizana na Makonda na habari zake ziandikwe kwenye vyombo vya habari.
Hivi mpaka hapa bado hamjagundua kitu? Mheshimiwa rais hakutaka yawe wazi yaliyotokea lakini sisi tunataka tufahamu kila kitu ilhali hawa ndio viongozi.
Kuna kitu kinaitwa ‘Privacy’ (Usiri/faragha) kila binadamu anacho hiki….anaficha yale anayoona hayapaswi kufahamika kwa watu wengine vivyo hivyo kwa serikali haiwezi kuanika kila tukio/ taarifa kwa wananchi wake. Ikiwa rais amesema yaishe ni kwa nini tunataka Makonda aombe radhi.
Naomba ieleweke kuwa hii radhi anayoombwa Makonda aitamke haipo kisheria isipokuwa ni busara…..Sasa kwa matukio haya yotee bado hujajiongeza?.
Kuzuia vyombo vya habari visitoe habari za Makonda hakumkomoi Makonda bali anaekomolewa ni mwananchi anaetaka kujua kiongozi wake anafanya nini kwani hata yeye kuna mengine hapendi yaandikwe, kwa hili la kutoandikwa habari zake kwenye vyombo vya habari kisa kikiwa ni tukio la Clouds, mimi binafsi nasema ‘NO’ ila kama kuna jingine sawa…….lakini pia hili suala la kuzuia Totally habari zake ni kumnyima mwananchi habari.
Ikitokea wananchi wakavishtaki vyombo vya habari watakuwa wana kosa? Mana wananyimwa habari……Naomba nimalizie kwa kusema kuwa hili jambo ni vema limalizike mana kama mpaka rais ameamua kuliingilia na kulimaliza sisi tunapaswa tuheshimu busara zake…….Ya Ngoswe muachie Ngoswe.
Dull Santo
(Mwanahabari)
Mbona mnakubali TBC inakufa? Inakuaje viongozi wanang'ang'ania kujitangaza kupitia vituo binafsi? Angalia kwenye kuweka jiwe la msingi hili kuzindua ujenzi wa bomba la mafuta vituo binafsi ndio vinaonekana bora kuliko bora. Mbona kipindi cha tido muhando tulikua tunaanglia taarifa ya habari TBC. Hii inaitaji masahihisho nakumbuka hata jumamosi TBC walikua wanaonesha game moja ya uingereza. Leo hii kila kiongozi anang'ang'ania kutumia vituo binafsi hii haiko vizuri hata kidogo.Naomba nitoe mtazamo wangu kuhusu suala linaloendelea kati ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na Mkuu wa mkoa wa Dar-es-salaam Paul Makonda.
Naomba ieleweke kwamba haya ni maoni yangu binafsi , sijashurutishwa na mtu ila ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi juu ya suala hili.
Kwanza kabisa nianze na suala lenyewe la Makonda kwenda Clouds bila taarifa na baadae vyombo vyote vya habari kuripoti kuwa “Makonda Kavamia clouds”. Uchunguzi wangu ulianzia hapa……Je Mkuu wa Mkoa anaweza kuwa mvamizi? Ikumbukwe kuwa RC ni mwakilishi wa rais katika ngazi ya mkoa lakini pia ndie Mwenyekiti wa Usalama wa mkoa, inakuaje akawa mvamizi?.
Je ikiwa alikwenda kwa ajili ya upekuzi katika eneo lile, atakuwa amekosea? Makonda angelikuwa ni mbunge tungekuwa tuna haki ya kumuita mvamizi lakini ni Mwakilishi wa rais ngazi ya mkoa na pia ni mwenyekiti wa usalama wa mkoa hawezi kuwa mvamizi.
Baraza la Habari linataka makonda aombe radhi….Swali la kujiuliza ni Je Makonda alifanya kosa gani? (Kumbuka kutokana na vyeo vyake hatuwezi kutumia neno mvamizi)….Nilichogundua juu ya hili, wanahabari wengi tunafuata mkumbo bila kufanya uchunguzi wa tukio lenyewe.
TEF walitoa tamko kuwa vyombo vyote vya habari visiandike habari zinazomuhusu Makonda mpaka pale atakapoomba radhi.
Wiki chache baadae Wahariri waandamizi wakaandaliwa warsha (seminar) na TANAPA ya wiki nzima wakaenda Tanga.
Haikupita muda Mheshimiwa Rais akawakutanisha huko huko Tanga Makonda na Ruge mbele ya kadamnasi na akowaomba wamalize tofauti zao.
Wiki chache baadae TEF wakaitisha Press na kusema kwamba wamemalizana na Makonda na habari zake ziandikwe kwenye vyombo vya habari.
Hivi mpaka hapa bado hamjagundua kitu? Mheshimiwa rais hakutaka yawe wazi yaliyotokea lakini sisi tunataka tufahamu kila kitu ilhali hawa ndio viongozi.
Kuna kitu kinaitwa ‘Privacy’ (Usiri/faragha) kila binadamu anacho hiki….anaficha yale anayoona hayapaswi kufahamika kwa watu wengine vivyo hivyo kwa serikali haiwezi kuanika kila tukio/ taarifa kwa wananchi wake. Ikiwa rais amesema yaishe ni kwa nini tunataka Makonda aombe radhi.
Naomba ieleweke kuwa hii radhi anayoombwa Makonda aitamke haipo kisheria isipokuwa ni busara…..Sasa kwa matukio haya yotee bado hujajiongeza?.
Kuzuia vyombo vya habari visitoe habari za Makonda hakumkomoi Makonda bali anaekomolewa ni mwananchi anaetaka kujua kiongozi wake anafanya nini kwani hata yeye kuna mengine hapendi yaandikwe, kwa hili la kutoandikwa habari zake kwenye vyombo vya habari kisa kikiwa ni tukio la Clouds, mimi binafsi nasema ‘NO’ ila kama kuna jingine sawa…….lakini pia hili suala la kuzuia Totally habari zake ni kumnyima mwananchi habari.
Ikitokea wananchi wakavishtaki vyombo vya habari watakuwa wana kosa? Mana wananyimwa habari……Naomba nimalizie kwa kusema kuwa hili jambo ni vema limalizike mana kama mpaka rais ameamua kuliingilia na kulimaliza sisi tunapaswa tuheshimu busara zake…….Ya Ngoswe muachie Ngoswe.
Dull Santo
(Mwanahabari)
Ama kweli Tanzania tunawaandishi vilazaPost zingine zinachosha kweli mana zinaelezea ujinga wa mwandishi
Sent using Jamii Forums mobile app