Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Hana ujasri wowote ila anamambo yake tu alishindwa kuyafanikisha sasa ni hasira tu.
Kama wewe ulivyoanzishaga ze utamu ili kumuaibisha Kikwete na CCM lakini mwishowe ulishindwa ukarudi hukohuko CCM Chezea CCM wewe
Yapi hayo,usiongee kimafumbo kama mashangingi wa bagamoyoHana ujasri wowote ila anamambo yake tu alishindwa kuyafanikisha sasa ni hasira tu.
- Jimbo lake huenda likagombewa na Waziri mmoja wa sasa na anajua kuwa nafasi yake kumshinda ni ndogo sana kwa hiyo huenda anajitayarisha kuhamia Chadema, inaeleweka sana yeye na mwenzake mmoja walipioga kura sawa lakini CCM ni chama kubwa wameikuta na wataiacha kama ilivyo, CCM ina wenyewe!!
Le Mutuz

Wewe siyo wa Ludewa, wote wanajua kuna Naibu waziri tena mwanamke, ameshatia mguu watu wote wa Ludewa wanajua, hata Deo mwenyewe anajua hii kitu.
Hana ujasri wowote ila anamambo yake tu alishindwa kuyafanikisha sasa ni hasira tu.
Mbona me ni wa ludewa lakini sijui
Mkuu, chuki ya nini dhidi yangu? Mimi nimetoa mtazamo wangu, wewe unaamua kunishambulia badala ya kutoa hoja yako kunipinga. Kama unafikiri Filikunjombe ni mbovu sawa na CCM wengine wote, basi ni kuelezea mtazamo wako na sababu zake.Ndio maana mmepoteza dira kwa kushabikia wanasiasa watafuta sifa badala ya wajenga hoja...
poor you!