Mtazamo Wangu: Deo Filikunjombe ni mjasiri.

S.Liondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,408
Reaction score
1,713
Pamoja na kwamba mimi na CCM ni kama Moshi na Pua, lakini kuna mbunge mmoja wa CCM ambaye taratibu ninajikuta nikianza kumkubali. Huyu si mwingine ila ni Mbunge wa Ludewa Mh. Deo Filikunjombe. Mheshimiwa huyu amekuwa mjasiri kusimamia kile anachoamini kuwa ni sahihi hata kama ni tofauti na msimamo wa chama chake. Kwakweli anajiamini na wala haogopi vitisho na mashinikizo ya chama chake. Nakumbuka kwamba yeye ni mmoja wa wabunge waliotia sahihi wakati Mh. Zitto alipokuwa anatafuta sahihi za wabunge ili kumwajibisha Waziri mkuu. Leo hii pia amepiga kura ya wazi kupinga azimio la "kura za siri na za wazi". Ametamka neno "Hapana" kuonyesha hakubaliani na msimamo huo japo ndio wa chama chake kwa sasa. Mimi ninaamini kama wana-CCM wote wangekuwa kama huyu bwana basi tungekuwa na serikali murua. Hongera Mheshimiwa Deo Filikunjombe.
 
Kwa wanasiasa anything ken happen,,,,wanasiasa waache kama walivyo,,,don trust politician mdau,
ushauri wangu wa bure kwako S.Liondo
 
Last edited by a moderator:
Mingi iliyopo kule ni michimia tumbo, na imeshikiwa akili. Leo hata Nape akitaka impe 0713... Iko radhi kumpa kwa kumwogopa. Haifuati dhamira zao.
 
Pamoja na kwamba mimi na CCM ni kama Moshi na Pua, lakini kuna mbunge mmoja wa CCM ambaye taratibu ninajikuta nikianza kumkubali. Huyu si mwingine ila ni Mbunge wa Ludewa Mh. Deo Filikunjombe. Mheshimiwa huyu amekuwa mjasiri kusimamia kile anachoamini kuwa ni sahihi hata kama ni tofauti na msimamo wa chama chake. Kwakweli anajiamini na wala haogopi vitisho na mashinikizo ya chama chake. Nakumbuka kwamba yeye ni mmoja wa wabunge waliotia sahihi wakati Mh. Zitto alipokuwa anatafuta sahihi za wabunge ili kumwajibisha Waziri mkuu. Leo hii pia amepiga kura ya wazi kupinga azimio la "kura za siri na za wazi". Ametamka neno "Hapana" kuonyesha hakubaliani na msimamo huo japo ndio wa chama chake kwa sasa. Mimi ninaamini kama wana-CCM wote wangekuwa kama huyu bwana basi tungekuwa na serikali murua. Hongera Mheshimiwa Deo Filikunjombe.

- Jimbo lake huenda likagombewa na Waziri mmoja wa sasa na anajua kuwa nafasi yake kumshinda ni ndogo sana kwa hiyo huenda anajitayarisha kuhamia Chadema, inaeleweka sana yeye na mwenzake mmoja walipioga kura sawa lakini CCM ni chama kubwa wameikuta na wataiacha kama ilivyo, CCM ina wenyewe!!

Le Mutuz
 
- Jimbo lake huenda
likagombewa na Waziri mmoja wa sasa na anajua kuwa nafasi yake kumshinda
ni ndogo sana kwa hiyo huenda anajitayarisha kuhamia Chadema,
inaeleweka sana yeye na mwenzake mmoja walipioga kura sawa lakini CCM ni
chama kubwa wameikuta na wataiacha kama ilivyo, CCM ina wenyewe!!

Le Mutuz

Kama wewe ulivyoanzishaga ze utamu ili kumuaibisha Kikwete na CCM lakini mwishowe ulishindwa ukarudi hukohuko CCM Chezea CCM wewe
 
- Jimbo lake huenda likagombewa na Waziri mmoja wa sasa na anajua kuwa nafasi yake kumshinda ni ndogo sana kwa hiyo huenda anajitayarisha kuhamia Chadema, inaeleweka sana yeye na mwenzake mmoja walipioga kura sawa lakini CCM ni chama kubwa wameikuta na wataiacha kama ilivyo, CCM ina wenyewe!!

Le Mutuz
Ni kweli kabisa Le Mutuz, CCM ina wenyewe kama ulivyosema. Huwezi kuwa na mtazamo wa kulinda maslahi ya taifa dhidi ya maslahi ya chama na ukabaki salama. Wenye chama ni wale wanaolinda maslahi ya chama dhidi ya maslahi ya Taifa.
 
- Jimbo lake huenda likagombewa na Waziri mmoja wa sasa na anajua kuwa nafasi yake kumshinda ni ndogo sana kwa hiyo huenda anajitayarisha kuhamia Chadema, inaeleweka sana yeye na mwenzake mmoja walipioga kura sawa lakini CCM ni chama kubwa wameikuta na wataiacha kama ilivyo, CCM ina wenyewe!!

Le Mutuz

Leo umesema kweli, tunajua CCM ina wenyewe.. Wazee Madalali wa hii nchi watoto nao ni Madalali kama kawa. Kwa wao wananchi si chochote wala lolote, ndiyo wale waliosema Ndege ya Rais lazima hata kama wananchi watakula Nysi. CCM ina wenyewe, wao wanatembelea gari yenye thamani ya Dispensary complete huku wasisitiza akina mama wajawazito wabebwe kwa pikipiki ya matairi matatu. CCM ina wenyewe bana, wako busy na kukimbiza Resources za nchi wanatokomeza wanyama hai kama Tembo nakadhalika.
 
Pamoja na kwamba mimi na CCM ni kama Moshi na Pua, lakini kuna mbunge mmoja wa CCM ambaye taratibu ninajikuta nikianza kumkubali. Huyu si mwingine ila ni Mbunge wa Ludewa Mh. Deo Filikunjombe. Mheshimiwa huyu amekuwa mjasiri kusimamia kile anachoamini kuwa ni sahihi hata kama ni tofauti na msimamo wa chama chake. Kwakweli anajiamini na wala haogopi vitisho na mashinikizo ya chama chake. Nakumbuka kwamba yeye ni mmoja wa wabunge waliotia sahihi wakati Mh. Zitto alipokuwa anatafuta sahihi za wabunge ili kumwajibisha Waziri mkuu. Leo hii pia amepiga kura ya wazi kupinga azimio la "kura za siri na za wazi". Ametamka neno "Hapana" kuonyesha hakubaliani na msimamo huo japo ndio wa chama chake kwa sasa. Mimi ninaamini kama wana-CCM wote wangekuwa kama huyu bwana basi tungekuwa na serikali murua. Hongera Mheshimiwa Deo Filikunjombe.
amesema hapana kwakuwa anataka kura ya wazi tuu ifanye kazi,nafikiri ungekuwa unaamaana kubwa sana kama angeenda kupiga kura ya siri kama wengine walivyofanya,tafakari
 
na jambo jingine ni kwamba inabidi uelewe ccm hawataki kula ya siri/uwazi walikuwa wanataka kura ya wazi tuu,hivyo uamuzi uliotoka leo ni kukidhi matakwa ya kamati ya maridhiano
 
Huyu Fulikonjombe anapenda sifa za hapa jf, anadhani ataendelea na sifa hizo ccm wakimmwaga, tutamsahau
 
- Jimbo lake huenda likagombewa na Waziri mmoja wa sasa na anajua kuwa nafasi yake kumshinda ni ndogo sana kwa hiyo huenda anajitayarisha kuhamia Chadema, inaeleweka sana yeye na mwenzake mmoja walipioga kura sawa lakini CCM ni chama kubwa wameikuta na wataiacha kama ilivyo, CCM ina wenyewe!!

Le Mutuz

Tisa si kumi ndugu yangu na kama hiyo moja iliweza kuondoka si ajabu na nyenginezo zikafuata!
 
- Jimbo lake huenda likagombewa na Waziri mmoja wa sasa na anajua kuwa nafasi yake kumshinda ni ndogo sana kwa hiyo huenda anajitayarisha kuhamia Chadema, inaeleweka sana yeye na mwenzake mmoja walipioga kura sawa lakini CCM ni chama kubwa wameikuta na wataiacha kama ilivyo, CCM ina wenyewe!!

Le Mutuz

Acha uongo wewe kubwa jinga, mimi ni wa Ludewa hakuna habari kama hiyo Ludewa.
 
Pamoja na kwamba mimi na CCM ni kama Moshi na Pua, lakini kuna mbunge mmoja wa CCM ambaye taratibu ninajikuta nikianza kumkubali. Huyu si mwingine ila ni Mbunge wa Ludewa Mh. Deo Filikunjombe. Mheshimiwa huyu amekuwa mjasiri kusimamia kile anachoamini kuwa ni sahihi hata kama ni tofauti na msimamo wa chama chake. Kwakweli anajiamini na wala haogopi vitisho na mashinikizo ya chama chake. Nakumbuka kwamba yeye ni mmoja wa wabunge waliotia sahihi wakati Mh. Zitto alipokuwa anatafuta sahihi za wabunge ili kumwajibisha Waziri mkuu. Leo hii pia amepiga kura ya wazi kupinga azimio la "kura za siri na za wazi". Ametamka neno "Hapana" kuonyesha hakubaliani na msimamo huo japo ndio wa chama chake kwa sasa. Mimi ninaamini kama wana-CCM wote wangekuwa kama huyu bwana basi tungekuwa na serikali murua. Hongera Mheshimiwa Deo Filikunjombe.

Huyu jamaa ni MGUMU/SHUPAVU wa msimamo wake. Namkubali sana sio leo tu kwani siku niliyoshtuka kuwa huyu jamaa ni noma ni siku alisema 'ni heri Waziri mmoja anyongwe kuliko wa(mwa)nanchi wake afe'
 
Leo umesema kweli, tunajua CCM ina wenyewe.. Wazee Madalali wa hii nchi watoto nao ni Madalali kama kawa. Kwa wao wananchi si chochote wala lolote, ndiyo wale waliosema Ndege ya Rais lazima hata kama wananchi watakula Nysi. CCM ina wenyewe, wao wanatembelea gari yenye thamani ya Dispensary complete huku wasisitiza akina mama wajawazito wabebwe kwa pikipiki ya matairi matatu. CCM ina wenyewe bana, wako busy na kukimbiza Resources za nchi wanatokomeza wanyama hai kama Tembo nakadhalika.

unanitia machungu nitashindwa kulala
 
Deo Filikunjombe ni sawa na wabunge kama 900 hivi wa CCM ni sawa na wabunge 11,900 wa CCM wenye vichwa kama vya Lusinde au Komba.
 
Back
Top Bottom