Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,244
Kwa jinsi mabanngo ya Ma dokta wa kienyeji wanao "ongeza"
nguvu za kiume dar yalivo mengi tofauti na mkoa wowote ule Tanzania.
Ukweli ni upi kati ya haya?
1. Wanaume wa dar ni mahanisi,wanahitaji msaada wa madawa.
2. Wanaume wa dar ni mahanisi,wanahitaji msaada wa madawa.
3. Wanaume wa dar ni mahanisi,wanahitaji msaada wa madawa.
Chagua moja,na ni kwanini?
Hewa chafu,chemical nyingi,uzembe,vyakula vya kinguruwe,uchafu mwingi,
na bado wanataka gesi wapelekewe huko huko dar.