Hakuna cha kejeli hapo,yuko sahihi kabisa..elimu ya tz kwa sasa iko taaban kabisa,na hatua za dharura zicpo chukuliwa hii nchi itakua na wasomi wa vyeti tu.
Ndio maana nimesema nimejaribu kuweka cartoon hiyo lakini nimeshindwa, cartoon haiwezi kusimuliwa ila inakuwa percieved na mtu kama anavyoweza kuielewa, nikianza kubainisha naweza kupotosha maudhui ya cartoon hiyo