mtazamo tu

mtazamo tu

BASANORARE

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
313
Reaction score
264
hv ingekuwaje kama wizara zingetolewa kulingana na makabila
mfano:
wakurya = ulinzi
wachaga = fedha na uchumi
wamasai = ufugaji
wakerewe = uvuvi
hebu tupia na yako nione...!
 
Hiyo ya wizara ya ustawi wa jamii nimeipenda sn ! Hahahaaa
 
Umesahau wahaya jaman

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wagogo-wizara ya mambo ya nje bze watajua kuomba misaada. Wahehe-wizara ya kazi.wapare-wizara ya fedha(department ya bajeti)
 
Wagogo-wizara ya mambo ya nje bze watajua kuomba misaada. Wahehe-wizara ya kazi.wapare-wizara ya fedha(department ya bajeti)
Wagogo wanafaa kupewa nchi (Urais) maana wanajua njia za ushawishi wa kuomba misaada nje. Wakwere wamejaribu kwa kiasi chao lakini si kwa ufanisi unaotakiwa.
 
Back
Top Bottom