Mtazamo: The Only Card CCM Can Play to Outway UKAWA

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Wakuu, amani iwe nanyi.

Nimekua nikifuatilia kwa karibu sana Matukio ya Ki Siasa hapa nchini kwetu hususan katika kipindi hiki kuelelea Uchaguzi Mkuu.
Kutokea kwa UKAWA katika Siasa zetu ni kitu ambacho ni Afya kwa Siasa na harakati za Upinzani katika kutwaa Dola.
Umoja huu umekuwa Ukipuuzwa na kukejeliwa sana na Chma tawala na wanufaikaji wa Mfumo wa chini ya Chama Tawala kwa nje nje.
Lakini haihitaji kuwa hata na Certificate kung'amua kuwa inwardly,kwa undani kabisa,CCM inajua kuwa ustawi wa UKAWA kimsingi ni equivalent na Kifo Cha CCM,ni ticket kwa CCM kuwa Chama cha upinzani 2015.
CCM hawawezi kukubali hili litokee ki rahisi rahisi,na njia Pekee ni kutafuta namna ya kuudhofisha UKAWA ikibidi Kuua kabisa Umoja huo kabla ya Uchaguzi Mkuu.
Lakini Mpaka sasa hali iko dhahiri kabisa kuwa UKAWA haingiliki ki rahisi na hii ni Changamoto kwa Chama Tawala.
Sijajua bado so far effort ambazo CCM wame invest kuutokomeza UKAWA,lakini niko sure kuwa kuna efforts nyingi CCM wame invest kuuhujumu na kuutokomeza UKAWA.

Lakini kitu ambacho ni dhahiri kabisa ni kuwa CCM hawana Mgombea wa U Rais wa uhakika so far ambaye anakubalika ki wazi wazi kabisa bila hila na kificho kwa hadhira kubwa ya CCM.
Hii ni tofauti kabisa na Miaka ya Nyuma,Mfano ni Kwa Rais JK.

Karata Pekee CCM ambayo wanayo so far kukwepa Madhara ya UKAWA ni kuahirisha Uchaguzi Mkuu wa October,kujipa Nafasi ya Kupata Mgombea anayekubalika na kumnadi nchi nzima bila kificho na at the same time,kuhujumu UKAWA.
Hii haiwezi kufanyika ndani ya Miezi 6.
Hizi Sarakasi za BVR ni viashiria tu.
Naona kila Dalili ya Uchaguzi Mkuu wa October kusogezwa Mbele.
 
Toka nijiunge Jamii forums leo nikiri kwa mara ya kwanza nimekutana na mpiga ramli koko.
 
Nimekuupuza kwa kuonesha kwako chembe chembe kuwa u Mshirikina
Bad enough,nyie ndio watumikaji katika kudhoofisha UKAWA.
Definitely aliyewatuma keisha fail
 
Ni maoni yako na nayaheshimu, lakini je ikiwa hiyo ndiyo sababu ya kuhairishwa uchaguzi, je huyo wa kufaa kugombea wataleta toka wapi ikiwa sasa hayupo ndani ya chama (na nchini)?
 
Wakuu, amani iwe nanyi.

Nimekua nikifuatilia kwa karibu sana Matukio ya Ki Siasa hapa nchini kwetu hususan katika kipindi hiki kuelelea Uchaguzi Mkuu.
Kutokea kwa UKAWA katika Siasa zetu ni kitu ambacho ni Afya kwa Siasa na harakati za Upinzani katika kutwaa Dola.
Umoja huu umekuwa Ukipuuzwa na kukejeliwa sana na Chma tawala na wanufaikaji wa Mfumo wa chini ya Chama Tawala kwa nje nje.
Lakini haihitaji kuwa hata na Certificate kung'amua kuwa inwardly,kwa undani kabisa,CCM inajua kuwa ustawi wa UKAWA kimsingi ni equivalent na Kifo Cha CCM,ni ticket kwa CCM kuwa Chama cha upinzani 2015.
CCM hawawezi kukubali hili litokee ki rahisi rahisi,na njia Pekee ni kutafuta namna ya kuudhofisha UKAWA ikibidi Kuua kabisa Umoja huo kabla ya Uchaguzi Mkuu.
Lakini Mpaka sasa hali iko dhahiri kabisa kuwa UKAWA haingiliki ki rahisi na hii ni Changamoto kwa Chama Tawala.
Sijajua bado so far effort ambazo CCM wame invest kuutokomeza UKAWA,lakini niko sure kuwa kuna efforts nyingi CCM wame invest kuuhujumu na kuutokomeza UKAWA.

Lakini kitu ambacho ni dhahiri kabisa ni kuwa CCM hawana Mgombea wa U Rais wa uhakika so far ambaye anakubalika ki wazi wazi kabisa bila hila na kificho kwa hadhira kubwa ya CCM.
Hii ni tofauti kabisa na Miaka ya Nyuma,Mfano ni Kwa Rais JK.

Karata Pekee CCM ambayo wanayo so far kukwepa Madhara ya UKAWA ni kuahirisha Uchaguzi Mkuu wa October,kujipa Nafasi ya Kupata Mgombea anayekubalika na kumnadi nchi nzima bila kificho na at the same time,kuhujumu UKAWA.
Hii haiwezi kufanyika ndani ya Miezi 6.
Hizi Sarakasi za BVR ni viashiria tu.
Naona kila Dalili ya Uchaguzi Mkuu wa October kusogezwa Mbele.

Naona kama unajichanganya mwenyewe, hata kama kwa sasa CCM hawana mgombea Uraisi wa uhakika kwani wakihairisha uchaguzi ndio watampata huyo wa uhakika? Au kuna sehemu wagombea wanauzwa wataenda kumnunua?

Hoja yako haina mashiko, ni nyepesi mno. Kajipange upya!!!!
 
Ugumu uliopo kwa CCM kuhujumu upinzani kwa sasa ni kuwa upinzani wana layers mbili ngumu sana. Kwanza layer ya UKAWA... lakini hata UKAWA ikifa leo, ndani kuna layer ya vyama binafsi... CUF kwa Zanzibar na CDM kwa bara...

CDM wenyewe wana uwezo mkubwa kushinda uchaguzi muungano na CUF kushinda Zanzibar.

Sasa kama ni hujuma CCM inatakiwa kwanza ivunje UKAWA alafu ivunje CDM alafu ivunje CUF... hiyo ni ngumu saana...

Alafu kuvunja tu UKAWA hakutoshi... maana wakiivunja wanatakiwa pia ku win wale waliokuwa nyuma ya UKAWA... hiyo nayo ni ngumi sana...

CCM wana karata moja kushinda uchaguzi mkuu ujao.... hata hivyo siisemi.
 
Naona kama unajichanganya mwenyewe, hata kama kwa sasa CCM hawana mgombea Uraisi wa uhakika kwani wakihairisha uchaguzi ndio watampata huyo wa uhakika? Au kuna sehemu wagombea wanauzwa wataenda kumnunua?

Hoja yako haina mashiko, ni nyepesi mno. Kajipange upya!!!!

Wao ndio wanajua wapi pa Kumpata na kumtangaza
 
Kwani nani kasema nchi hii lazima iongozwe na CCM?.Wako watanzania makini wanaofaa kuongoza nchi nje ya CCM
 
Wao ndio wanajua wapi pa Kumpata na kumtangaza

Mgombe Uraisi siyo mwanachama anayepatikana ndani ya wiki moja, unless utuambie CCM wanataka kuhairisha uchaguzi ili kusubiri mgombea atakaye jitoa UKAWA kitu ambacho kwa CCM hakiwezi kutokea!

Kama hata hujui huyo mgombea mzuri wa Uraisi anayesababisha CCM watake kuhairisha uchaguzi anapatikana kutoka wapi basi inaonekana unaandika habari za kusadikika au umekariri vibaya maneno ya viongozi wa UKAWA nawe ukakurupuka kuandika bila hata kufikiri kwa kina!
 
Kwenye RED and Bold, thats the reason nikasema Wataahirisha Uchaguzi, Muda hautoshi
 
wagombea Uraisi wapo wengi, kuna
Riz 1,
Dk.Mwinyi,
Karume,
Salim A. Salim,

Na HATA MIMI NAFAA PIA. usiumize kichwa sana. tupo wengi tunaweza kuendesha taasisi hiyo.
 
Back
Top Bottom