Mkuu,namaanisha kuwa na Mwanamke kimahusiano na nikawa sina mpango wa kumuoa ila tukakubariana anizalie Watoto(tuzae Watoto watatu),na kisha nitimize jukumu la kuwalea kama Baba,baadaye wakifika umri wa Kiserikali niwachukue moja kwa mojaFafanua vizuri point yako Mkuu