Mtazamo: Sidhani Kama Nitaoa!

Mtazamo: Sidhani Kama Nitaoa!

Sio kila story inayoisikia humu au vijiweni kuhusu wanawake ni kweli....ndoa ni pande mbili ziishi kwa kutegemeana...kuna vitu vingi...and you can make your wife different from those rumoured about!
Bado mtoto...akikua ataelewa.
 
Kwa Jinsi Ninavyoona watu wanavyoleta Nyuzi za wake zao wanavyozingua naona huu mkondo utamfuata kila mtu!

Nilikuwa na Mzuka wa Kuja kumuoa Mwanamke wangu Kipenzi ila daah kwa Hii Hali Bado, eti uoe ghafla after two years mnaachana afu labda mna mtoto/watoto .... si Mwanzo wa kuyumba Huo?

Aaah Mimi Kuoa Hapana!
Siku zote ukiishi kwa kutazama maisha ya mwingine. Utaangamia. Everybody has different destiny, ndoa ya mwenzako inaweza ikavunjika mapema ,na yako ikadumu vizuri..

Ni kumtanguliza Mungu na kujiamini
 
Usjali, just be a man. Mpende mkeo lkn hii haikukatazi kuendelea na maisha mengine kama ku hang out and fvcking around here and there..!
 
Kwa Jinsi Ninavyoona watu wanavyoleta Nyuzi za wake zao wanavyozingua naona huu mkondo utamfuata kila mtu!

Nilikuwa na Mzuka wa Kuja kumuoa Mwanamke wangu Kipenzi ila daah kwa Hii Hali Bado, eti uoe ghafla after two years mnaachana afu labda mna mtoto/watoto .... si Mwanzo wa kuyumba Huo?

Aaah Mimi Kuoa Hapana!
Usiogope mkuu kila mtu na zari lake kwenye maisha ya ndoa cha msingi umuombe Mungu sana tena sana kumpata mwenza wako na wewe mwenyew usiwe muigizaji wa maisha
 
Ujakatazwa kuoa ila muombe sana mungu akupe njia la sivyo yatakukuta ya kaka yangu ye kabla ya kurudi kwake anakunywa vidonge vya usingizi akifika chap kitandan
 
Ujakatazwa kuoa ila muombe sana mungu akupe njia la sivyo yatakukuta ya kaka yangu ye kabla ya kurudi kwake anakunywa vidonge vya usingizi akifika chap kitandan
daah achaa basii
 
Kwanza jiulize unaoa ili iweje?!ukipata jibu unaweza fanya uamuzi sahihi kwa ajili yako!
 
Mtu mwenyewe mtazamo kama wako wa kuishi Kwa kusikiliza maneno mabandiko humu jukwaani tu unasema huoi sasa ndo utaiweza kila kitu kinachangamoto ni wewe nia yako ya dhati moyoni maana ukioa shida usipoa pia shida

Though kuna mwafulani yeye hapend kuulizwa Uko wap unarudi saa ngap hataki kutumia hela yake kwa ajili ya mtu na anakwambia anaenjoy single life yupo 38yrs kwa tabia zake hawezi kuoa na hata akioa ndoa haitadumu hivyo si kila mtu ndoa inamfaa
 
Nlikua na mawazo kama yako, ila sasa nimeoa na ni mwaka wa tano sasa, naomba nikushauri kitu ''tafuta mke wako kweli, usije ukaoa mke ambaye Mungu hakukupangia awe mkeo" ukioa mtu asiye mkeo, lazima upigiwe, lazima mgombane na hayo yote ambayo umeyaona au kusikia kuhusu ndoa.otherwise ndoa sio mbaya ila inahitaji tu kuvumiliana, kukubali kusamehe/give and take, upendo wa hali ya juu lakin pia ujue kupiga mashine vizuri ili mkeo aridhike.
 
Mkuu utajuaje kama Huyu Ndio wako?
 
Laiti ningelipata Watoto watatu kabla,wazo la kuoa nalifuta na nnajikita kuwaandalia Watoto maisha yao ya baadaye, na wakishafikisha miaka 7 nnawachukua kwa ajili ya masomo na hapo ndipo ntakuwa nimelibeba jukumu zima la malezi kama Mzazi wao kwa maisha yao ya baadaye
 
Fafanua vizuri point yako Mkuu
 
Mkuu story za humu kwa asilimia kubwa sana ni za upande mmoja tu. Hivyo si vema kufikia conclusion mapema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom