Mtazamo: Sidhani Kama Nitaoa!

Mtazamo: Sidhani Kama Nitaoa!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,315
Reaction score
8,747
Kwa Jinsi Ninavyoona watu wanavyoleta Nyuzi za wake zao wanavyozingua naona huu mkondo utamfuata kila mtu!

Nilikuwa na Mzuka wa Kuja kumuoa Mwanamke wangu Kipenzi ila daah kwa Hii Hali Bado, eti uoe ghafla after two years mnaachana afu labda mna mtoto/watoto .... si Mwanzo wa kuyumba Huo?

Aaah Mimi Kuoa Hapana!
 
Ili ufanikiwe unapaswa kujifunza kwa aliefail ili kutofanya aliyofanya yeye na kwa aliefaulu ili kukuongezea Chachu ya Mafanikio yako ingawaje ni Wachache watakwambia Ukweli ikizingatiwa determination ya Maisha ya Ndoa ni ya Wanandoa wenyewe hivyo za kuambiwa...,
 
Sio kila story inayoisikia humu au vijiweni kuhusu wanawake ni kweli....ndoa ni pande mbili ziishi kwa kutegemeana...kuna vitu vingi...and you can make your wife different from those rumoured about!
 
Kwa Jinsi Ninavyoona watu wanavyoleta Nyuzi za wake zao wanavyozingua naona huu mkondo utamfuata kila mtu!

Nilikuwa na Mzuka wa Kuja kumuoa Mwanamke wangu Kipenzi ila daah kwa Hii Hali Bado, eti uoe ghafla after two years mnaachana afu labda mna mtoto/watoto .... si Mwanzo wa kuyumba Huo?

Aaah Mimi Kuoa Hapana!
Naunga mkono hoja
 
Angalia yako achana wanaolia TZ tupo zaidi y million 40 Ila wanaolalamika ndoa hawazidi million 1 so usijiweke negative side
 
Kwa Jinsi Ninavyoona watu wanavyoleta Nyuzi za wake zao wanavyozingua naona huu mkondo utamfuata kila mtu!

Nilikuwa na Mzuka wa Kuja kumuoa Mwanamke wangu Kipenzi ila daah kwa Hii Hali Bado, eti uoe ghafla after two years mnaachana afu labda mna mtoto/watoto .... si Mwanzo wa kuyumba Huo?

Aaah Mimi Kuoa Hapana!
kama hautaoa basi wewe ni punga, nenda kaolewe mkuu.
 
maisha yako yatengeneze mwenyewe usiangalie wengine somaneni vizuri hutajutia
 
mlete Babako nimtie afu ujue mimi sio Punga!
kwa maneno yako tu hayo unaonekana wewe unapumuliwa. mwanaume halisi hawezi kuogopa kuoa. endelea kuvaa skin tight na shumizi mkuu.
 
Sio kila story inayoisikia humu au vijiweni kuhusu wanawake ni kweli....ndoa ni pande mbili ziishi kwa kutegemeana...kuna vitu vingi...and you can make your wife different from those rumoured about!
Kwahiyo unamaanisha chai ndo nyingi mno?
 
kwa maneno yako tu hayo unaonekana wewe unapumuliwa. mwanaume halisi hawezi kuogopa kuoa. endelea kuvaa skin tight na shumizi mkuu.
mlete mamako na wewe pia uje inaonekana Bora Babako Angekmwaga Kwenye Condom Kuliko Kuwa na Mtoto ka wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom