I Isaack Valentino Kimario New Member Mar 15, 2016 3 0 Mar 23, 2016 #1 Habari zenu wadau tupo pamoja sanaaaaa
T Tate Shebughe JF-Expert Member Jan 4, 2016 324 265 Mar 23, 2016 #3 Karibu mjukuu wetu! bila shaka umetuletea zawadi ya mbege na zile ndizi za kutengenezea mtori. Jisikie uko nyumbani Mangi Isaack Valentino Kimario. Angalizo: usije ukakiamini hata kivuli chako humu jf.
Karibu mjukuu wetu! bila shaka umetuletea zawadi ya mbege na zile ndizi za kutengenezea mtori. Jisikie uko nyumbani Mangi Isaack Valentino Kimario. Angalizo: usije ukakiamini hata kivuli chako humu jf.