Whatever is excellent! Kula bata na kuku zako zoote, ila ukicheza na 25-30....
Hili nalo ni neno tena lakudiscusiwa kwa uzuri kabisaMmmmmmmmmmmmmmh!
Ndo utulize dudu kwanza! SIKU HIZI JITU SINGLE ILA LINA WATOTO 2 KILA MTU NA *****
Aiseee Msisahau kusoma kwa bidii.
Nimeguswa na huu mtazamo.kidizain umekaa vyema
Nitaoa mara tu nimalizapo chuo. Masuala ya kukaa miaka miwili mitatu nitazeeka bure.
Kuingia kwenye ndoa bado mbichi mbichii raha sanaa,sio unaolewa ushachoka hata ukifika usiku unapata mawazo kugeuzwaa lol
Nipooo.Huku ni lazima kutembelea kutoa stress na kuelimikaumepotea sana sonnita...!
^^
Karibuni katika shule ya Maisha, huku kanuni zenu za vitabuni zinapishana kidogo tu na uhalisia.
^^