Mtazamo juu ya kuoa na kuolewa mara baada ya chuo

Mtazamo juu ya kuoa na kuolewa mara baada ya chuo

uje ukiwa goko? akuuuuu! nani akuoe. Ukisha kula bata olewa na waliokutafuna.
 
Ukichelewesha ndoa unaishije kama sio kuzin tu? Ndoa iharakishwe bhana mambo mengine yanataka juhud tu na wala ndoa haiwez kuwa 7bu ya mtu kuichelewesha. Usipooa wakat umeshabaleghe UTAZINI TU.
 
Back
Top Bottom