Mtazamo google+ ni another revolution ya social network

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,089
829
MIMI KAMA MDAU WA TECHNOLOGY BAADA YA KUSIKIA UJIO WA HII KITU NA KWA SABABU TU NA KUBALI SANA HIZI KAZI ZA HAWA WAYAHUDI WA GOOGLE NI LIJIUNGA KLE KIPINDI CHA INVITE ONLY WAKATI WAKO KWENYE FIELD TEST PHASE. KUANZIA SEPT 20 WAMEACHIA HII SOCIAL NETWORK YAO HONESTLY SPEAK HAWA JAMAA WANAJUA KAZI SI SHAKA WATAKE OVER TUTASAHAU FACEBOOK NA TWITTER KARIBUNI JARIBU KUEXPLORE NA WEWE HII GOOGLE + PRONOUNCED AS GOOGLE PLUS (Real-life sharing rethought for the web.).UONE FEATURES ZAKE
 
nazani timing ndo mbaya sasa hivi kila mtu yupo kwa facebook labda facebook ikidoda, lakini google labda waje na jinsi nyingine ya kuinjoyi maisha online hiyo google + nikama wamechakachua Facebook labda kwa mageek ndio deal.
 
mkuu ila kifeatures mwanzo wako .vizuri and by the way mwanzo mgumu ..
 
Back
Top Bottom