King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,573
- 1,344
Ukipata binti msomi muelewa means hutochoka maishaHao Hao ukiwatafuta baada ya mwaka au miaka miwili wakiwa mtaani
Unawakuta wako vizuri na wana sifa zote, so unagundua shida si wao ila
Shida ni mazingira waliyotoka kwahyo tusiwalaumu ila tuwape muda waku cope
Na pia sidhani kama yafaa kujumuisha wote,vilaza wako everywhere hata kule kimbiji
Kwa wasio hata na elimu ya darasa 1.