Mtazame mkulu, mungu si athumani.

photoshop!

Wewe Tomaso, na hii unasemaje ?
Young_President_Obama_and_his_Kenyan_Grandmother-2.jpg


Au hii akipuliza fegi.

barack_obama_smoking_kenya.jpg

 
Washamba wakubwa nyie, nadhani ni wachovu mbaka hamjawahi kukaa na ma billionere, kwa taarifa yenu matajiri wengi wa Ulaya ukikutana nao huwezi amini wanavyo vaa na pia wanavyo jichanganya wakifika Africa, niemsha safiri nao sana kupigipa nap picha na useme hawa ni matajiri huwezi amini, washamba sana nyie eti simpo.
 
Du! Toka watu wameijua photoshop basi kila kitu ni photoshop tu!! Embu tuambie why you think this photo has been doctored.

Unanikumbusha ile hadithi ya kipofu aliyebahatika kuona mara moja na alichoona ni punda kwa hiyo kila akiambiwa kitu anauliza kiko kama punda?
 
watu wengi ni wavivu wa kutafuta ukweli. siku hizi kuna vyanzo vingi vya habari na hizi picha nyingi za Obama akiwa kenya na kabla hajawa Rais zipo hata kwenye baadhi ya machapisho yake yeye mwenyewe. binafsi nakubaliana na aliyesema hapo juu kuwa hana makuu!! mengine anayofanya ni kwa sababu ya sera ya nchi yake . Rais wa America ni Taasisi siyo kama hapa Afrika ambako mtu akiwa Rais anaweza kujiamulia tu mambo kiholela kwa vile tu ni Rais. Yeye kama Obama, jamaa ni mwafriaka kweli. Nimesoma vitabu vyake na makala zake alizoandika kabla hajawa Rais wala Mwanasiasa wa ngazi za juu, ambayo naamini ndizo feelings zake hasa, na nimefuatilia kazi alizofanya kama organizer katika mitaa ya walala hoi, ( ambako pia aliishi). kuna wakati nikawa najiuliza kwa nini anavutiwa na mambo ya kiafrika na aina ya maisha yetu wakati alikuwa hata hajaja huko wala hajaishi huku? tafuta kitabu chake cha A dream from my father" uone alipokuja Afrika kwa mara ya kwanza anavyodai kuwa alijisikia yuko nyumbani at last. nadhani hata hii picha ilipigwa wakati huo. na ukisoma utajua hapo alikuwa anatoka wapi an huyu bibi hapa ni nani. nakupa hints tu kuwa hapo ni kijijini Alego.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom