Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Mkuu kwani ni kosa kisheria kutembea huku umesimamisha ?? Wewe ukiwaona simamisha tu
teh teh tehMkuu kwani ni kosa kisheria kutembea huku umesimamisha ?? Wewe ukiwaona simamisha tu
Mabalabarani ndo wakina nani?Kwa kweli wanatupa tabu sana mabalabarani..
Hahaha inaelekea ninafanana akili na Uncleben wa KijitonyamaHahahaaaaa unanikumbusha jamaa mmoja Kijitonyama anaitwa uncleBen hahahaaaaaaa
Dah, we jamaa kweli kibokoMkuu kwani ni kosa kisheria kutembea huku umesimamisha ?? Wewe ukiwaona simamisha tu
Teh teh cheka tu mkuu siku zisogeeteh teh teh
mkuu umenifanya nicheke sana aiseee, kha
Hahaaaa...Mkuu ni tabu,unasimamisha mpaka misuli inauma mara kila kona wapoMkuu kwani ni kosa kisheria kutembea huku umesimamisha ?? Wewe ukiwaona simamisha tu
Sasa mkuu si unaivuta tuu unailaza kwa juu kwenye mkanda wala hamna atakayejua ,kosa labda uwe ni mvaaji wa suruali ya kitambaaDah, we jamaa kweli kiboko
Kwa kweli wanatupa tabu sana mabalabarani..
Wanajua ila ni makusudi tu wanatutesa mana wanajua akili zetu zinaweweseka fasterKwa kweli wanatupa tabu sana mabalabarani..
bibiiii= mabarabarani
Wapiga puli ktk ubora wao.Wanajua ila ni makusudi tu wanatutesa mana wanajua akili zetu zinaweweseka faster