Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,622
Kiongoz wangu mtatiro wewe ni kijana sana tena damu bado mbichi mwanzoni nilikua na imani sana na wewe lakin baada ya CUF kukukabidhi chama kwa muda uliniacha hoi yaani amani ilipotea kabisa.
Wewe kila mtu ulitaka kumufukaza chama mara Lipumba mara Sakaya sijui mara umvue uanachama tena bila mpangilio alafu sasa hivi unalialia eti Magufuli ni dikteta ana fukuza watu bila kufuata mipangilio.
Wewe kipindi unavua uanachama Sakaya ulifuata mpangilio acha zako kiongoz tulia hivyo hivyo dawa ikuingie nasikia unataka kuhamia CHADEMA we hama ikibid hama nchi.