Elimu ya hapa na pale
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 846
- 825
Kifungu kipi cha katibaNdio inakubalika hakumtaja mtu mbona jpm mahakama ilikubali
Mtu yeyote asiyetambulika rasmi kwenye kaliba ya watu ama jamii fulani. .mkwe anaweza kukuita hivyo kama ukitengana na bintiye na hasa kama kosa likiwa ni lako kwa kuthibitishaHodi wana jamvi,
Leo katika taarifa ya habari nimemsikia kiongozi maalufu wa CUF. Julias Mtatiro akitaja neno BWANA YULE.
Je, Ni halali na kikatiba inakubalika?
Naombeni maoni yenu wadau wa JF.
Ndio inakubalika hakumtaja mtu mbona jpm mahakama ilikubali
Laki si pesa bhana.Katika wanasiasa wasioaminika Mtatiro ni namba moja
Wakongo huwa wanasema "anatumika"bo si vile bhasi.😡Katika wanasiasa wasioaminika Mtatiro ni namba moja
Kweli kabisa Lipumba ndiyo anaaminika sana.Katika wanasiasa wasioaminika Mtatiro ni namba moja
Maalufu[emoji735] maarufu[emoji736]Hodi wana jamvi,
Leo katika taarifa ya habari nimemsikia kiongozi maalufu wa CUF. Julias Mtatiro akitaja neno BWANA YULE.
Je, Ni halali na kikatiba inakubalika?
Naombeni maoni yenu wadau wa JF.
Huyu jamaa huwa anajitutumua sana naye ajulikane, ila Wapi! Ni wanasiasa ambao siku zote wapo wapo tu.Katika wanasiasa wasioaminika Mtatiro ni namba moja
kweli kabisa lipuma sio kibaraka na wala hatumikiKibaraka huyo, acha atumikie kafiri apate mradi
Tatizo mtatiro anaendeshwa kwa remote na CHADEMA..Wakongo huwa wanasema "anatumika"bo si vile bhasi.😡
Mtatiro anatumika na CHADEMA...Mbele ya Mbowe hana sauti kabisaKweli kabisa Lipumba ndiyo anaaminika sana.
Amepoteza muelekeo kiongozi mkubwa wa chama maamuzi yake mengi yanafanywa kwa maelekezo kutoka CHADEMA...kama CUF inataka kupotea kwenye ramani ya siasa wamuachie Mtatiro awaongoze..Huyu jamaa huwa anajitutumua sana naye ajulikane, ila Wapi! Ni wanasiasa ambao siku zote wapo wapo tu.
Lipumba anatumika na CCM mbele ya dola hana sauti.Mtatiro anatumika na CHADEMA...Mbele ya Mbowe hana sauti kabisa