Mzee wa Wima
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 537
- 296
Mkuu unamaana Le profeseli a.ka BWANA YULE humjui.Hodi wana jamvi,
Leo katika taarifa ya habari nimemsikia kiongozi maalufu wa CUF. Julias Mtatiro akitaja neno BWANA YULE.
Je, Ni halali na kikatiba inakubalika?
Naombeni maoni yenu wadau wa JF.