Naamini Viongozi wa CUF watachukua hatua stahiki za kuwafungulia mashtaka wale wote waliohusika Na Utakatishaji fedha za ruzuku za Cuf.Kama Msajili wa vyama alitoa Barua ya kusitisha utoaji wa ruzuku Kwa Cuf Leo iweje Hazina watoe fedha hizo? Akaunti ya CUF ya kupokelea Ruzuku inafahamika miaka yote Leo iweje fedha iweke kwenye Akaunti tofauti?Fedha za CUF iweje zipelekwe kwenye Akaunti ya MTU binafsi? Ni dhahiri Vyombo husika vitalishughulikia suala hili kwani fedha hizo ni Kodi za watanzania masikini Na wanyonge.
Kwa mtaji na uhuni wa namna hii, kamwe nchi haiwezi kunyooka. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu; haya yanayofanyika kwa rasimali za umma ni kwa maslahi ya taifa hili? How can this country stoop so low.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.