Mtanzania wa kwanza ndani ya jarida la playboy marekani

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Pichani juu ni Mtanzania wa kwanza kuwepo katika ukurasa wa mbele wa Jarida maarufu la Playboy la nchini Marekani ambapo amelipwa kitita kikubwa mno. Jarida hilo limewatoa mastaa kibao wakiwemo Madonna, Kim Kardashian, Naomi Campbell, Garcelle, Vanessa Williams na wengineo.
 
Acha kuwafanya watu wajinga hilo magazine halijaaandikwa issue number wala Month...inaitwa photopps amijeweka kwenye cover...watu wanalipwa ma -star kuwa kwenye hio magazine...huyo hata sio model....ondoka zako hapo na pumba zako Hii ndio playboy latest issue
 

Hahaha mkuu umemwumbua.kaumbukajeeee
 
hahahahahah money stunna umechemka leo, it's so easy to see that was obviously a photoshop.
 


Money stunna siku hizi anatuuzia chai mchana wa jua kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…