Mtanzania kwa ubunifu we acha tu

hahahaaa akifika nyumbani kwa mama yoyoo siku hiyo shuhuli hamna maana kiuno chote kimerojeka kwa kubeba tofali lol, unaweza save hiki ukajikuta baadaye unakosa hiki
 
Reactions: awp
mkuu umejuaje kwamba ni mtz ilihali haonekani?
 
khaa na njia zenyewe ndo hizi za bongo zenye makorongo ka nanii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…