Indume Yene Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 2,968 Reaction score 728 Nov 18, 2011 #1 Nimejaribu kupitia one of magazetiz online nikakuta Mtanzania Daima ikikohoa. Inawezekana Webmaster wao sijui kasinzia, kaweka story ya sijui miaka mingapi iliyopita. Nawashauri kuwa waangalifu wanapokuwa wanaposti stori zao.
Nimejaribu kupitia one of magazetiz online nikakuta Mtanzania Daima ikikohoa. Inawezekana Webmaster wao sijui kasinzia, kaweka story ya sijui miaka mingapi iliyopita. Nawashauri kuwa waangalifu wanapokuwa wanaposti stori zao.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,195 Reaction score 27,376 Nov 18, 2011 #2 Indume Yene said: ... Mtanzania Daima ... Click to expand... Nafahamu Tanzania Daima na Mtanzania ni magazeti mawili tofauti. Au nayo yamefanya muungano wao wa 'nchi mbili' na wamekuwa Mtanzania Daima?
Indume Yene said: ... Mtanzania Daima ... Click to expand... Nafahamu Tanzania Daima na Mtanzania ni magazeti mawili tofauti. Au nayo yamefanya muungano wao wa 'nchi mbili' na wamekuwa Mtanzania Daima?
Indume Yene Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 2,968 Reaction score 728 Nov 18, 2011 Thread starter #3 Mfupa hauna ulimi...teh..teh, I meant Tanzania Daima.
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,263 Reaction score 685 Nov 18, 2011 #4 Indume Yene said: Mfupa hauna ulimi...teh..teh, I meant Tanzannia Daima. Click to expand... ndo gazeti gani?
Indume Yene said: Mfupa hauna ulimi...teh..teh, I meant Tanzannia Daima. Click to expand... ndo gazeti gani?
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 62,188 Reaction score 38,576 Nov 18, 2011 #5 jabulani said: nafahamu tanzania daima na mtanzania ni magazeti mawili tofauti. Au nayo yamefanya muungano wao wa 'nchi mbili' na wamekuwa mtanzania daima? Click to expand... sio ttatizo lake muulize passport ya tanzania aliitupa choo gani
jabulani said: nafahamu tanzania daima na mtanzania ni magazeti mawili tofauti. Au nayo yamefanya muungano wao wa 'nchi mbili' na wamekuwa mtanzania daima? Click to expand... sio ttatizo lake muulize passport ya tanzania aliitupa choo gani