Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 637
DUH nasubiri kumsikia KOVA
RIP wa noah!
RIP wa noah!
We Pdidy Umepotelea Wapi? Siku Nyingi Sana Mkuu AU Ndiyo Zile Kadi Zetu Nyekundu Za Kutoka Kwa Marefarii Wetu ( Moderators ) Humu JF? Nimekumisi Mno!
daadeki, niko shamba mkuu wangu didy, nikishuka mjini tu breki ya kwanxa leaders kukuvizia kuanzia saa kumi jioni najua utatokea tu babu unioneshe warembo wote wa jf, maana wanajidai sana na avatar zao za kuchonga!hahahhha
Bwana ametoa, Bwana ametwaa.. tukamkuta RPC na wenzake wakiomboleza vijana wamepiga kazi,...
mpwa jana nimekusikiliza kweli MIGODI ilikuwa ya Kumwaga unavuta tu kwa mkono
loh nikaelekea chuo mpwa sijui wanaita NYAMA CHOMA FESTIVAL Loh nikakimbia getini niko na mdogo wangu
kiingilio cha wawili Nyama ya Ngombe Kg 4 ..nkamwambia mlinizi mbarikiwe tu kwa hili jamani wacha nielekee afrikasana
kula nyama choma ....infact niliwiwa kuamini watanzania wanapenda starehe jamani...yaani pamoja na kiingilio cha alfu kumi wanafunzi ambao awafanyi kazi walijaa wengi kuliko wafanyakazi wamepata wapi kiingilio uciniulize zaidi
Mungu awabariki Unajua mara ya mwisho kuingia kwenye viingilio nilipa alfu tatu niliposikia alfu kumi nikaanza kuvuta sura yaani haya ni matamasha matatu nahudhuria kwa wakati mmoja 10,000/3000 Mbaya sina uhakika kama hela yangu wanaenda kuitolea sadaka ama zaka ..nikakimbia mpwa
Na huyu Pdidy mbona kila wizi ukitokea nae yumo?ni coincdence ama?
aahahahaha, unauwa mpwa, we kuna mtu wa kukutoza kiingilio kweli mpwa wangu nyie ndiyo wazee wenyewe wa mji?!! buku teni hakyanani hata mimi sitoi, labda kama wananipa na kilo ya nyama bure. hao wanafuzi hiyo buku teni wanatoa ndiyo mtaji wenyewe, akizama ndani itaenda kulipa tu!
Bwana ametoa, Bwana ametwaa
Wakati nipo njiani nampeleka mtoto hospitali ya TMJ baada ya kupata homa kidogo,sasa wakati tunakaribia kufika daraja la Mlalakuwa nikaona walinzi wa Royal Oven pale Kawe wakiwa wamelazwa chini.Tulipita darajani kwa mwendo wa kasi sana bila kutoa msaada.
Wakati tunarudi baada ya kumaliza matibabu tukamkuta RPC na wenzake wakiomboleza vijana wamepiga kazi,na pembeni tukaona gari aina ya Toyota Noah imezungukwa pembeni kuna tobo la risasi.
Chini ya gari hilo kulikuwa na damu nzito,kumbe kuna mtu kauawa muda mchache uliopita wakati akinunua vitafunwa..
Sina cha kusema zaidi ya kumwachia Mungu tu ajuaye.
Mkuu si umeona naitafuta phd yakina mrema nikishinda huku lazima wanivue nguo mpwa
upo ..zidi kuniombea bana ...shule ya uzeeni nataaka kazi nataka loh acha tu ....
Nimekupata Na Kaza Buti Mkuu. Hongera Sana Kwa Kujiendeleza Zaidi Kimasomo! Vipi Huko Napo BRN Inazingatiwa? I am Just Kidding Brother.
Mbona unamcheka mtumishi wa Mungu, hautaenda mbinguni wewe.
Kumbe ni mtumishi wa Mungu? Sikujua hilo.
Ananichekesha kwa majibu yake ya papo kwa papo