Mtanzania auawa Royal Oven Kawe

Mtanzania auawa Royal Oven Kawe

Na haya matukio ya Wafanyabiashara wakubwa kufitiniana wao kwa wao naona yanazidi kasi sana.
Watu hata hawamuogopi mungu kwa kutambua uwepo wake.Kila mtu mungu kampa fungu lake hata kama akifunga hapo ni kwamba mshindani wake anaweza asipate chochote zaidi ya laana tu.
Maisha ukikaa chini na kuaangalia ni ya mpito na mafupi sana.Unapopandisha pumzi juu basi ukiishusha mshukuru mungu,wapo wanaoshusha pumzi ndio inakuwa moja kwa moja,
Tutambue kwamba haki ya mtu hailiwi wala haidhulumiwi.

Kama ni fitna wangeichoma hiyo bakery. Kuna la zaidi
 
sipati picha mauaji hayo yangetokea znz! michango ya kina remote na wenzie ingekuwaje
 
Pdidy, huwa unanikosha sana kwa uandishi wako hivi ulimaliza Mlimani mwaka gani kuna siku ulieleza historia ya elimu yako.

2000 -degree

unataka na mwaka wa masters??

sasahivi naivutia pumzi phd kama ntaweza naweza tunukiwa mwakani zakina mrema nk...kutoka kwa mjaluo

lingine mpwa wangu
 
Pdidy, huwa unanikosha sana kwa uandishi wako hivi ulimaliza Mlimani mwaka gani kuna siku ulieleza historia ya elimu yako.

Hahahahaha huyu Pdidy huwa simuelewi kabisa...naishia kucheka!
Nasikia ni Dr!
 
umeanza CYEBER Njoo Leaders utaona

daadeki, niko shamba mkuu wangu didy, nikishuka mjini tu breki ya kwanxa leaders kukuvizia kuanzia saa kumi jioni najua utatokea tu babu unioneshe warembo wote wa jf, maana wanajidai sana na avatar zao za kuchonga!hahahhha
 
Amehamia Mbezi "Mbichi" jirani na KKKT Mbezi Beach. Duuh wanamhujumu Mmiliki wa ROYAL OVEN Bw.Exaud Kiwali tukio la kupora hapo kwa silaha ni la tano.

Sio bure mmiliki atakuwa na jambo na hao wavamizi wa mara kwa mara.Biashara za kudhulumiana,wivu wa mapenzi zinazaa visasi visivyoisha.Siamini kama wavamizi wanalenga wateja moja kwa moja.Ninakumbuka tukio la kuwekwa sumu katika baadhi ya vyakula ROYAL OVEN.
 
Mtanzania auwawa,p didy ulikuwa unamaanisha nini? Mi nikadhani nje
 
Hahahahaha huyu Pdidy huwa simuelewi kabisa...naishia kucheka!
Nasikia ni Dr!

DK Una mlike mpwa
huko shule si ulikuwa hatari maana u ki like kila mtu hadi kwenye ndoa utatamani ku......
 
Mtumishi wa Mungu tunashukuru kwa taarifa ila leo umeandika vizuri sana kama haujapata F kwenye somo la kiswahili vile.
 
2000 -degree

unataka na mwaka wa masters??

sasahivi naivutia pumzi phd kama ntaweza naweza tunukiwa mwakani zakina mrema nk...kutoka kwa mjaluo

lingine mpwa wangu

... aaah Mkuu hiyo lazima iwe phdiddy, safi sana dadadeki!!
 
ushakunywa GENTAMYCINE Kwanza?

We Pdidy Umepotelea Wapi? Siku Nyingi Sana Mkuu AU Ndiyo Zile Kadi Zetu Nyekundu Za Kutoka Kwa Marefarii Wetu ( Moderators ) Humu JF? Nimekumisi Mno!
 
2000 -degree

unataka na mwaka wa masters??

sasahivi naivutia pumzi phd kama ntaweza naweza tunukiwa mwakani zakina mrema nk...kutoka kwa mjaluo

lingine mpwa wangu

Ha ha haaaaaaaa. Hii kali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom