BWANA AMETOA BWANA AMETWAA
NIKIWA NAPITAKUPELEKA MTOTO TMJ AKIWA NAKAHOMa
NKAONA WALINZI WA ROYAL OVEN KAWE WAMELAZWA CHINI.TULIPITADARAJANI.KAMA.WEHU
WAAKATI WA KURUDI NAMKUTA RPC NA WENZAKE WAKIOMBOLEZA VIJANA WAMEPGA KAZI...GAFLA NAONAGARI YANOAH IKIZUNGUKWA PEMBENI KUNA TOBO LA RISASI
LOH CHINI NAONYESHWA DAMUNZITO JAMANI ATI MAREHEMU KAUWAWA DK KADHAA ZILIzopta akinunua chapat na mkate
so sad sina chakusema whr we go
ni Mungu tu ajuaye
Pdidy, huwa unanikosha sana kwa uandishi wako hivi ulimaliza Mlimani mwaka gani kuna siku ulieleza historia ya elimu yako.
bado sijajua ni nini haswa chanzo cha mauaji hiyo!
Hebu mleta uzi huu funguka kidogo!
Lakini yeye anafanya juhudi gani kujilinda pamoja na wateja wake???!!!Looks like huyo ndugu wanam sabotage. Mara kadhaa wezi wanavamia hapo. Kuna wakati wamama flani wakanunua kati ya keki au maandazi au sambusa wakasema wametapika na kuharisha wakasema zina sumu.
ndugu yangu watu wana yao...hasa visasi....mambo ya dhuluma kifamilia na uonevu ulokithiri...wala huu si ujambazi asilani.
Lakini yeye anafanya juhudi gani kujilinda pamoja na wateja wake???!!!
Kuna cameras??!!!!
Askari gani wanalinda hapo maana kama walikusanywa na kulazwa chini hapo kuna ulinzi??!!!
Atafute plain cloth na ku m plant hapo, mi sikubali kama pameshindikana hapo mahala
Hapo noma mie napitaga baru make ukikwepa cha moto hapo utakutana na sumu kwenye mikate.
Hapo kuna sabotage ya ajabu.
Napakimbia vibaya mno.
R.i.p mwenye Noah.
Na huyu Pdidy mbona kila wizi ukitokea nae yumo?ni coincdence ama?