Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Ni engineer LΓ©onard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali ya hewa.
Satellite hiyo imefanyiwa majaribio katika mikoa kadhaa na kutoa matokeo chanya.
Kongole Engineer LΓ©onard Shayo
Chanzo: Azam news