Mtanzania Aneth Mwakilili kuwania tuzo ya wanasayansi wachanga duniani

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
12803004_1122151481162538_8567917863654663106_n.jpg

Msichana mtanzania Aneth David Mwakilili ni miongoni mwa wasomi walioteuliwa kuwania tuzo la wanasayansi wachanga Barani Afrika maarufu kama The Next Einstein Forum (NEF).

Tuzo hiyo huleta pamoja wasomi wa sayansi, watunga sheria na washika dau katika sekta mbalimbali Barani Afrika, kujadili na kuhimiza sayansi inayoweza kutatua matatizo yanayokumba Bara la Afrika.

Washindi wa tuzo hiyo wanapewa ufadhili na usaidizi kutoka kwa wakfu huo ili kutekeleza utafiti wao kikamilifu.

Katika shindano hili Mwakilili, atafanya utafiti ambao utasaidia wakulima.
 
Hizi ndizo kati mada ninazo expect pale pindi nifuanguapo JF home of great thinkers nizikute.
 
aisee...sasa huenda ukawa mwanzo wakupata wanasayansi Watanzania....bila wanasayansi ni ngum sana kwa nchi kuendekea....chukulia mfano Iran...leo inaheshimika duniani sababu ya wanasayansi wao...!
 
Kwa wenzetu wazungu naamini atafanikiwa, lakini ingekuwa hapa kwetu watu wangeanza kushindana kumpata na kumuharibia sijui tukoje mweeeee
 
Hiki kidemu kipo vizuri. Kilikimbiza wanaume pale MBB udsm balaa. Kinastaili na kinaweza.
 
Taarifa hii haijakamilika.Ukituambia tu ni utafiti utakaosaidia wakulima ni too wide.Narrow down.
View attachment 329604

Msichana mtanzania Aneth David Mwakilili ni miongoni mwa wasomi walioteuliwa kuwania tuzo la wanasayansi wachanga Barani Afrika maarufu kama The Next Einstein Forum (NEF).

Tuzo hiyo huleta pamoja wasomi wa sayansi, watunga sheria na washika dau katika sekta mbalimbali Barani Afrika, kujadili na kuhimiza sayansi inayoweza kutatua matatizo yanayokumba Bara la Afrika.

Washindi wa tuzo hiyo wanapewa ufadhili na usaidizi kutoka kwa wakfu huo ili kutekeleza utafiti wao kikamilifu.

Katika shindano hili Mwakilili, atafanya utafiti ambao utasaidia wakulimu.
 
Taarifa hii haijakamilika.Ukituambia tu ni utafiti utakaosaidia wakulima ni too wide.Narrow down.

Name: Aneth Mwakilili

Country: Tanzania

Aneth David is an MSc Biotechnology student at the University of Dar es Salaam, Tanzania, where she also received her BSc. in Molecular Biology and Biotechnology. Her MSc research focused on the effectiveness of soil bacteria in improving food production and elongation of shelf life of crop harvests. Her research has inspired her to probe deeper into the impact of scientific research in daily life of Tanzanians in a survey study she is currently conducting. She is a member and beneficiary of SABINA students fellowship grant, a member of YUNA Tanzania Chapter and scientific communities H3ABioNet and ASBC. Ms. David is also passionate about women empowerment and their role in social development. She aspires to a scientific research and academic career where she can explore, share and impart knowledge and experiences, and work closely with the younger generation. Source: Current Ambassadors 3

N.B
Aneth David Mwakilili, Tuwakilishe vyema na pia research za namna hii zinazosaidia wakulima ambao ni asilimia kubwa ya nguvu kazi na mapato ktk uchumi wa Tanzania ndiyo zinazopaswa kupewa ufadhili na vibali haraka Ikulu.
 
Back
Top Bottom