Mtanzania Anayeishi Spain

Wana JF natafuta mtz yoyote ambaye yupo Spain. Nimekuja Spain kishule lakini ningependa kukutana na wabongo wenzangu, tubadilishane hata mawazo
Mzee wa magreen tomalini,mwamalili moja na kati ya keleja.
 
tangu uwe huko hujaitwa bado hili jina "Macacque/Macaco"
 
Lengo ni tujue tu uko spain.haya na me niko norwich-uk kimasomo
aahahhahah,, haya bhana. Nipo huku boss nina muda sana now,, ingekuwa lengo ni hilo ningekuwa nimepost toka zamani tu. Shida hapa TZ hawana Ubalozi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…