Bin Maryam
JF-Expert Member
- Oct 22, 2007
- 685
- 13
Well sometimes home is where you live....ukiondoa ughaibuni for some of us Kwa hiyo hao wanajamii waliohamishwa kwenye makazi mapya enzi hizo, itabidi watambue kuwa wanapoishi ndipo cummunity yao ilipo, na wanapaswa kuitumikia kwa nguvu na mali zote. Mimi siku zote naona haijakaa sawa, kwa mchaga aliyezaliwa na kulowea Mtwara (anaongea mpaka kimakonde, let alone kula panya) anapohamua kwenda kuchangia ujenzi wa shule Machame wakati anapoishi kuna ukosefu wa shule za kutosha.
On the other hand, bado kuna community ya tanzania yote as awhole. Mfano nilioutoa wa kuwa guest speaker vyuoni unalenga ku-give back to the Tz community bila ya kujali kabila, dini, na tabaka.
Baba yangu alifanya kazi serikali na kwa wastani alikaa sehemu moja kwa miaka minne. Hata kama alitaka kufanya bond sehemu aliyohamia, ni lazima alifikiri kuwa kuna siku atahama na kuna siku atastaafu na kurudi kwao kupumzika.
Wafanyakazi wa serikali wengi wao ni normads na kwa bahati mbaya au nzuri hao ndio wenye elimu. Hivyo ni mkitaka watu wa-pay back community ni lazima wakae kwenye makazi wanayofanyia kazi kwa muda mrefu na kuwa na uhusiano nayo.