Mtanzania, Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu Mumbai, India

View attachment 460254
Alphonce Felix Simbu kawa mshindi wa kwanza na Magdalena Crispin naye ni Mtanzania kawa mshindi wa nne katika mashindano ya STANDARD CHARTERED MUMBAI MARATHON kapata kitita cha $67 elfu .

Alidhaminiwa na DSTV MULTCHOICE TANZANIA.Nafikiri huyu ndio alishika nafasi ya nne kwenye Olympic Marathon mwaka jana
Safi saana braza
 
Daaah safi sana Simbu.. safi sanaaaaaa ... yaani nimefurahia tu hiyo zawadi ya $ 67,000 hakika nafurahi kwa kuwa sasa kipaji chako kinaenda kuendesha maisha yako. Vijana tuamke na kama tuna vipaji tuvitumie
 
Inashangaza MTU akishinda anapeperusha bendera ya taifa huyu hana zaidi ya taulo!!, halafu kesho unakuta mapemaa wazir kawah airport kumpokea
 
View attachment 460254
Alphonce Felix Simbu kawa mshindi wa kwanza na Magdalena Crispin naye ni Mtanzania kawa mshindi wa nne katika mashindano ya STANDARD CHARTERED MUMBAI MARATHON kapata kitita cha $67 elfu .

Alidhaminiwa na DSTV MULTCHOICE TANZANIA.Nafikiri huyu ndio alishika nafasi ya nne kwenye Olympic Marathon mwaka jana
Sasa tunamtaka Jidabudai apambane tuwe nao kina Simbu wengi AT chini ya Antony achanane na ubabahishaji kama wa TOC wapigaji
 
Mpambano ulikuwa mkali sana kati yake na Mkenya Joshua Kipkorir aliyekuwa wa pili. Congrats Simbu.....
 
Hongera sana Dogo Alphonce. Tangu niliposikia habari zako za Olympic kule Rio nilihisi kuwa utafika mbali sana. Keep it up

..kabla hajakimbia Marathon za Rio nilimponda sana yeye na mwenzake.

..lakini yuko mchangiaji mmoja toka Kenya akaniambia Alphonce yuko vizuri na akipata kocha mzuri anaweza kuwa world class marathon runner.

..na kweli Alphonce akafanya vizuri ktk Rio marathon.

..kwa hiyo since then nimekubali kuwa huyu dogo ana uwezo. Akipewa kocha mzuri anaweza kushinda marathon nyingi tena zile kubwa-kubwa.
 
Mbona tumeshtukizwa jamani haku pewa bendera na waziri mwenye dhamana hongera simbu kwa kuipeperusha tz
 
January 15, 2017
Mumbai, India

Glam, glitter and glory mark 14th Mumbai Marathon
Tanzanian athlete Alphonce Simbu (24) and Kenyan runner Bornes Chepkirui (31) bagged top spots

Tanzanian athlete Alphonce Felix Simbu (24) and Kenyan runner Bornes Kitur Chepkirui (31), flew past all competition to bag the top spots in the men's and women's category respectively in the full marathon at the 14th Standard Chartered Mumbai Marathon (SCMM) here on Sunday.

Indian athletes, army soldier Kheta Ram (31) and Jyoti Shanker Gawte topped the men and women's category in the full marathon which saw participation of over 6,000 runners.

While Simbu clocked 2:09:32 hours, the first runner-up Joshua Kipkorir (23) of Kenya came a close second at 2:09:50, and fellow Kenyan Eliud Barngetuny (43) claimed the third spot at 2:10:39.

The international women's topper Chepkirui clocked 2:29:02 to bag the women's title, Ethiopian Chaltu Tafa (28) came second clocking 2:33:03 and her fellow countrywoman Tigist Getachu Girma (23) -- who won the Beirut Marathon last November -- stood third with 2:33:19.

Among the male Indians, Kheta Ram stood first clocking 2:19:51, followed by Bhadur Singh Dhoni at 2:19:57 and T.H.S. Luwang third at 2:21:19.

In the female Indians section, Gawte bagged the gold by clocking 2:50:53, followed by Shyamali Singh at 3:08:41 and Jigmet Dolma at 3:14:38.

In the Half Marathon (21.097 km), the winner in the men's category was G. Lakshmanan and in the women's category it was Monika Athare.

Incidentally, five rehabilitated cardiac patients from the Asian Heart Institute (AHI), aged between 52-67 year, also joined and completed the Half Marathon.

The winners were welcomed by Bollywood star John Abraham who felicitated and posed with them for selfies. Other film stars present included Sonali Bendre and Juhi Chawla.

The annual glittering 14th SCMM was concluded with the participation of a large dose of glamour personalities, top sportspersons, corporate bigwigs and commoners enthusiastically running, braving the Mumbai chill.

Maharashtra Governor C.V. Rao flagged off the SCMM near Chhatrapati Shivaji Maharaj Terminus while Chief Minister Devendra Fadnavis and his wife Amruta, several state ministers, Union Sports Minister Vijay Goel, Western Naval Command chief Vice-Admiral Girish Luthra, Mumbai Mayor Snehal Ambekar and Police Commissioner Datta Padsalgikar, film stars and other dignitaries cheered the participants along with over 300,000 onlookers en route.

A large number of government employees led by Chief Secretary Swadhin Kshatriya also enthusiastically participated.

Later, the top dignitaries felicitated and congratulated the winners in different categories of the event.

Other top Indian athletes who participated included Elam Singh, Mohammed Yunus, and Ladakh's self-trained runners, Jigmet Dolma and Tsetan Dolkar.

This year, the SCMM notched the highest turnout with 6,342 men and women running for the full marathon (42.195 km), 14,663 for Half Marathon and 19,980 for the Dream Run, including many foreigners, representatives from the defence forces and Olympians.

Several film personalities, top corporates, the Asian Heart Institute (AHI), several NGOs, public organisations, physically-challenged persons and others took part in different capacities for what is billed as Asia's biggest marathon event with highest prize money and gold, silver and bronze medals.

Around 2,500 exhausted runners required medical attention which was provided by a team of AHI medicos led by its medical director Vijay Da Silva at two base camps set up on the marathon course.

A vast majority suffered from dehydration-related symptoms, many were sent off after first aid and others would be under observation till late in the evening.
Source: Glam, glitter and glory mark 14th Mumbai Marathon

N.B
Hongera sana Alphonce kwa kuibebe bendera ya Tanzania ktk mbio za kimataifa na pia kasi ya kumaliza mbio hizo 2:09:32 hours zinakuweka katika kundi la wanariadha bora wa mbio za umbali huo, tunategemea bila shaka kabisa mengi mazuri ktk mashindano ya kimataifa siku za usoni .
 
Mbona hana bendera ya Taifa au Nape hakupata taarifa? Bora huyu anafaa pongezi kuliko yule wa kutumbuiza.
 
Hongera dogo, hata ukirudi nyumbani Mampando-sgd huachi kufanya mazoezi.Endelea kuipaisha sgd na Tanzania kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom